Mwanamke ni chombo

Mwanamke ni chombo

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
8,013
Reaction score
14,263
1 Pet 3:7

1 Petro 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe. Kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uhai anaowapeni Mungu. Hapo sal Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; maana wao pia ni warithi wa neema ya uzima, ili maombi yenu yasizuiliwe na chochote. Vivyo hivyo ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili, nanyi wapeni heshima mkitambua ya kuwa wao ni wenzi walio dhaifu, na kama warithi pamoja nanyi wa kipawa cha neema cha uzima, ili kusiwepo na cho
 
Apatae mke amepata KITU cha thamani。
kwahyo wao ni KITU?
 
Km ni chombo kisicho na nguvu, mbona mnaambiwa mkae na sisi kwa akili??
Tatizo kwenye biblia mnachagua vifungu vinavyowapa faraja, vingine hamsomi.!!
 
mh! chombo kisicho na nguvu mi mbona jana hicho chombo kimenipiga kichwa cha pua kabla sijafanya chochote akaniwahi kende hakuzibinya alipikicha,halafu akazivuta! nilipovutika ndo akazibinya sasa! kelele nilizotoa ziliamsha umati wa viumbe mbalimbali sikuwahi kutoa kelele kama ile! haya hizo nguvu unazosema hawana zimetoka wapi...??
 
Nafikiri ni lugha tu inayotumika katika Biblia, haimaanishi chombo kikombe ama bakuli.

NB: “Eeh Baba wa mbinguni naomba ukapate kugusa nafsi ya kila mmoja mahala hapa, mimi ni chombo tu katika kuieneza injili yako.” (Ke/Me).
 
😛 😛 😛 ubwege wako tu mkuu
tarime mwanamke akikushika kende anatakiwa aende kwao na kurudi na ng'ombe wa kuja kutoa kafara
hilo ni kosa kama la uhaini. aisee pole sana
 
Nafikiri ni lugha tu inayotumika katika Biblia, haimaanishi chombo kikombe ama bakuli.

NB: “Eeh Baba wa mbinguni naomba ukapate kugusa nafsi ya kila mmoja mahala hapa, mimi ni chombo tu katika kuieneza injili yako.” (Ke/Me).
aya gani hiyo mkuu
 
🙌🏾mke!!!
 
Attachments

  • VID-20240611-WA0014.mp4
    448.4 KB
Back
Top Bottom