Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Vipi siku hizi umefungua kanisa unahubiri "kazi" amaTafuta Kazi Ambazo Hazijatangazwa
Mvuvi mwenye wavu mkubwa zaidi ndiye mwenye uwezekano mkubwa wa kuvua samaki. Vivyo hivyo, kujua jinsi ya kupanua “wavu” wako kutafanya uwe na uwezekano mkubwa wa kupata kazi. Ikiwa unatafuta kazi kwa kujibu tu matangazo yaliyo kwenye magazeti au kwenye Intaneti, huenda ikawa unapitwa na kazi nyingi. Kazi nyingi hazitangazwi. Unawezaje kutafuta kazi hizo?