Mwanamke ni rahisi kudanganyika mambo ya kiimani

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2023
Posts
5,501
Reaction score
4,956
Habari za mchana.

Naomba nirejee hicho kichwa hapo juu. Nimepitapita nakuona makanisa mengi ya kiutapeli wanajaa wanawake, wanawake ndo wamekua chambo za wachungaji katika kujivunia kipato, Sasa mi nauliza shida ni Nini?

Wanasayansi wanasema kwamba mwanamke anafanya maamuzi kutumia hisia na sio fikra. Ila hata hivyo, kwenye threads za jamii forums kuhusu Mambo ya dini, sijawahi ona mwanamke hata mmoja.

It seems wanawake ni waoga Sana, rahisi kushawishika, rahisi kudanganywa na rahisi kutapeliwa na kucontroliwa maisha Yao.

Pia dini zote za kikristo na kiislamu zimemweka mwanamke Kama kiumbe duni, Malaya, mwongo, mchonganishi, na hivyo unakuta hata dini inaruhusu at times wapigwe, waolewe wakiwa wadogo kisa bikra, wasiongoze na pia wawe watumwa wa ndoa.

Wanawake siwasemi Ila ni wanaume wachache Sana ambao utawakuta wamejazana wanakesha makanisani wanalia Lia miujiza, na JamiiForums sijawahi ona mwanamke atheist.

Ifike mda na wanawake muweze kufikiria juu ya mambo halisi mweze kujenga hoja za msingi na msipende kupelekeshwa kisa uoga tamaa na ujinga.

Mi Kuna demu eti alikuwa anajua wanawake Wanambavu nyingi kuliko wanaume kisa ka story Cha Adam na Eva na nyoka wa kuongea.

So sijui lini Ila wanawake ndo mnaongoza kuamini vitu vya uwongo kama miujiza, uchawi, kulogana, majini etc

Muache jamani kwa afya yenu ya akili
 
Inamaana hujakutana na Demi + cocastic
 
We ni me au ke??
 
Nipo mwanamke ninayekuwa kwenye nyuzi za dini...
 
Cha kushangaza hata mapepo huwa yanawakumba wanawake tu! Sijui shida iko wapi!!
 
Back
Top Bottom