Mwanamke ni rahisi kudanganyika mambo ya kiimani

Mwanamke ni rahisi kudanganyika mambo ya kiimani

Habari za mchana.

Naomba nirejee hicho kichwa hapo juu. Nimepitapita nakuona makanisa mengi ya kiutapeli wanajaa wanawake, wanawake ndo wamekua chambo za wachungaji katika kujivunia kipato, Sasa mi nauliza shida ni Nini?

Wanasayansi wanasema kwamba mwanamke anafanya maamuzi kutumia hisia na sio fikra. Ila hata hivyo, kwenye threads za jamii forums kuhusu Mambo ya dini, sijawahi ona mwanamke hata mmoja.

It seems wanawake ni waoga Sana, rahisi kushawishika, rahisi kudanganywa na rahisi kutapeliwa na kucontroliwa maisha Yao.

Pia dini zote za kikristo na kiislamu zimemweka mwanamke Kama kiumbe duni, Malaya, mwongo, mchonganishi, na hivyo unakuta hata dini inaruhusu at times wapigwe, waolewe wakiwa wadogo kisa bikra, wasiongoze na pia wawe watumwa wa ndoa.

Wanawake siwasemi Ila ni wanaume wachache Sana ambao utawakuta wamejazana wanakesha makanisani wanalia Lia miujiza, na JamiiForums sijawahi ona mwanamke atheist.

Ifike mda na wanawake muweze kufikiria juu ya mambo halisi mweze kujenga hoja za msingi na msipende kupelekeshwa kisa uoga tamaa na ujinga.

Mi Kuna demu eti alikuwa anajua wanawake Wanambavu nyingi kuliko wanaume kisa ka story Cha Adam na Eva na nyoka wa kuongea.

So sijui lini Ila wanawake ndo mnaongoza kuamini vitu vya uwongo kama miujiza, uchawi, kulogana, majini etc

Muache jamani kwa afya yenu ya akili
Wanawake wameumbwa na tamaa kubwa sana, na hizo tamaa ukijumlisha na udhaifu wao lazima wajikute kwa mwamposa wakilamba chumvi ya upako na kunywa mafuta ya upako hakuna namna.
 
Wanawake wameumbwa na tamaa kubwa sana, na hizo tamaa ukijumlisha na udhaifu wao lazima wajikute kwa mwamposa wakilamba chumvi ya upako na kunywa mafuta ya upako hakuna namna.
🤣So u blame nature haya bana
 
Back
Top Bottom