Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

Saa 5 usiku na bado ukaondoka naye na kufanya naye mapenzi tena bila kinga?TACAIDS wana kazi kubwa ya kutoa elimu kwa wananchi.
 
mkuu mbona nipo salama na mtoto nishampata
 
Mkuu usikute alikua na tatizo la uzazi na pengine hayo ni masharti ya mganga...ata kumkuta pale ulipomkuta ni plani ilopangwa na ikapangika...ila damu nzito kuliko maji,utampata tu...
 
Habari za jioni wakuu,

Kuna vitu ambavyo unaweza kukutana navyo katika maisha yako ya kila siku na ukavihifadhi katika moyo wako na kufanya siri kubwa ambayo kamwe hutataka kumwambia mtu yoyote yule.

Katika maisha ambayo nimeishi hapo kabla ikiwa bado sijakutana na huyu mpenzi niliyenae sasa nilibahatika kuzaa na msichana mmoja aitwaye Sheila.

Alikuwa ni msichana ambaye nilikutana nae kibahati mbaya sana, nasema kibahati mbaya sana kwa kuwa mazingira tuliokutana yalikuwa ni mazingira ya msaada zaidi, baada ya kumkuta maeneo ya Posta Mpya saa tano za usiku akiwa amejiinamia.

Sikujua nikitu gani ambacho kilinisogeza pale lakini nilijikuta tayari nikiwa mbele yake huku nikionyesha roho ya ubinadamu ikiwa ni pamoja na kuuliza ni lipi tatizo ambalo linamsibu.

Binti yule hakutaka kunijibu wala kunisikiliza alichokuwa anakifanya ilikuwa ni kunitazama tu na kunibinulia mdomo kwa dharau kubwa. Kusema kweli binti alikuwa ni mrembo sana na alikuwa anavutia sana.

Kijana nikaona nitangaze msaada huku moyoni nikiwa na mipango yangu mingine. Kweli baada ya vuta nikuvute binti akakubali kuondoka na mimi kuelekea Kigamboni ninakoishi huku akiweka angalizo la kutokumsumbua tukifika huko.

Mdomoni nikakubali lakini moyoni nilikuwa mbali sana, kifupi siku hiyo hiyo ndio siku ambayo tulifungua ukurasa wa penzi letu na tukawa kama kumbikumbi kila wakati tuko wote huku nikiwa sijui chochote kuhusu alikotoka na kwa wazazi wa huyu mwenzangu.

Ndani ya kipindi cha uhusiano wote mwenzangu akapata ujauzito ambao kila mmoja aliufurahia sana huku mapenzi yetu yakiongezeka maradufu.

Sasa kilichonifanya kuja hapa kwenu wanajamvi wenzangu ni kwamba licha ya kumhudumia kwa kila kitu kama mwenza wangu lakini baada ya kujifungua binti akanambia alichokuwa anakitaka ameshakipata hivyo nisimjue na nisimfuatilie tena.

Mwanzo niliona ni kama utani lakini baada ya siku chache akatoroka na mtoto mimi nikiwa kazini na hata niliporudi na kuwauliza majirani hawakuwa na jibu la maana.

Na hata namba zake za simu kila nikipiga hazipatikani tena lakini kuna siku nilitumiwa sms kwa namba ngeni akinipa hongera ya kumpatia mtoto.Lakini nilipoipiga haikupatikana na mpaka leo haipatikani.

Ombi langu kwenu wanajamvi wenzangu nifanyeje niweze kuipata damu yangu? Imefikia kipindi nahitaji kumuona mwanangu lakini sijui wapi nitampata huyu mwanamke.

Msaada wanajamvi wenzangu
Pumzika kwa amani mkuu
 
Anajifanya eti alimkuta kajiinamia kwi kwi mtu kajiinamia usiku unapata ujasiri wa kumfata na kumpeleka nyumbani
huyu jamaa ni purchaser na alienda ku purchase
Haya yote ni maisha..
Siku moja yatapita...

Sijui kwanini nimekumbuka hayo mashairi..

R.I.P man
 
Inaonyesha kama hadithi za chei chei shangazi....
Dunia ya leo unaweza "okota" mtu husiyemjua usiku na kumpeleka nyumbani just like that ?.... na bado ulale na mimba juu, LKN bado ukakaa tu bila kupekenyua anakaa wapi, jina na mengine..

Hivi mtoto akizaliwa si ana process cheti, jina la baba na mama addresses ect. Wewe sijui ndo ukumbikumbi hukakaa tuu ??
Sorry but I don't buy this !!

Then bila hata kufanya upekenyuzi, a, b, cs

Nadhani alishampataga huyo mtoto

Na huyu jamaa amefariki juzi kwa matatizo ya kifua. Kaacha watoto wawili Christina(nadhan ndo wa sheila) na mwingine wa kiume

Upumzike mahali ulipojiandalia mkuu
 
Duh mkuu, sikuwa nimejua.
I withraw my comments, na naomba msamaha.

RIP bro..
 
Habari za jioni wakuu,

Kuna vitu ambavyo unaweza kukutana navyo katika maisha yako ya kila siku na ukavihifadhi katika moyo wako na kufanya siri kubwa ambayo kamwe hutataka kumwambia mtu yoyote yule.

Katika maisha ambayo nimeishi hapo kabla ikiwa bado sijakutana na huyu mpenzi niliyenae sasa nilibahatika kuzaa na msichana mmoja aitwaye Sheila.

Alikuwa ni msichana ambaye nilikutana nae kibahati mbaya sana, nasema kibahati mbaya sana kwa kuwa mazingira tuliokutana yalikuwa ni mazingira ya msaada zaidi, baada ya kumkuta maeneo ya Posta Mpya saa tano za usiku akiwa amejiinamia.

Sikujua nikitu gani ambacho kilinisogeza pale lakini nilijikuta tayari nikiwa mbele yake huku nikionyesha roho ya ubinadamu ikiwa ni pamoja na kuuliza ni lipi tatizo ambalo linamsibu.

Binti yule hakutaka kunijibu wala kunisikiliza alichokuwa anakifanya ilikuwa ni kunitazama tu na kunibinulia mdomo kwa dharau kubwa. Kusema kweli binti alikuwa ni mrembo sana na alikuwa anavutia sana.

Kijana nikaona nitangaze msaada huku moyoni nikiwa na mipango yangu mingine. Kweli baada ya vuta nikuvute binti akakubali kuondoka na mimi kuelekea Kigamboni ninakoishi huku akiweka angalizo la kutokumsumbua tukifika huko.

Mdomoni nikakubali lakini moyoni nilikuwa mbali sana, kifupi siku hiyo hiyo ndio siku ambayo tulifungua ukurasa wa penzi letu na tukawa kama kumbikumbi kila wakati tuko wote huku nikiwa sijui chochote kuhusu alikotoka na kwa wazazi wa huyu mwenzangu.

Ndani ya kipindi cha uhusiano wote mwenzangu akapata ujauzito ambao kila mmoja aliufurahia sana huku mapenzi yetu yakiongezeka maradufu.

Sasa kilichonifanya kuja hapa kwenu wanajamvi wenzangu ni kwamba licha ya kumhudumia kwa kila kitu kama mwenza wangu lakini baada ya kujifungua binti akanambia alichokuwa anakitaka ameshakipata hivyo nisimjue na nisimfuatilie tena.

Mwanzo niliona ni kama utani lakini baada ya siku chache akatoroka na mtoto mimi nikiwa kazini na hata niliporudi na kuwauliza majirani hawakuwa na jibu la maana.

Na hata namba zake za simu kila nikipiga hazipatikani tena lakini kuna siku nilitumiwa sms kwa namba ngeni akinipa hongera ya kumpatia mtoto.Lakini nilipoipiga haikupatikana na mpaka leo haipatikani.

Ombi langu kwenu wanajamvi wenzangu nifanyeje niweze kuipata damu yangu? Imefikia kipindi nahitaji kumuona mwanangu lakini sijui wapi nitampata huyu mwanamke.

Msaada wanajamvi wenzangu
Rip
 
Back
Top Bottom