mkuu kosa kubwa sana kukumbushiaNi miaka 6 sasa sijawai fanya ngono peku (unprotected sex) na miezi 5 sijafanya ngono hadi wiki 3 zilozopita.....
Demu niliyemangana naye nilipotezana nae miaka mingi nilipoonana naye nilimtaka tena kukumbushia na nikampiga Mara 4 na kondomu bao 1 kila tendo ktk wiki 3 zilizopita
Demu kapima Leo kaambiwa anao......
Mazee hofu niliyokuwa nayo nikama nilipiga peku, hata msosi sili kwa raha!!!
Wenge baya sanaaa
Kapime. Unatuambia ujinga wako wa uzinzi sisi tukusaidieje?Ni miaka 6 sasa sijawai fanya ngono peku (unprotected sex) na miezi 5 sijafanya ngono hadi wiki 3 zilozopita.....
Demu niliyemangana naye nilipotezana nae miaka mingi nilipoonana naye nilimtaka tena kukumbushia na nikampiga Mara 4 na kondomu bao 1 kila tendo ktk wiki 3 zilizopita
Demu kapima Leo kaambiwa anao......
Mazee hofu niliyokuwa nayo nikama nilipiga peku, hata msosi sili kwa raha!!!
Wenge baya sanaaa
Sawa broKapime. Unatuambia ujinga wako wa uzinzi sisi tukusaidieje?
Haikupasuka Mara zote huwa nakuwa makini kuchunguza gegedo kama liko on condom..... Sema wasiwasi ni ule "Hivi kumbe Ana Ngoma vip kama ingepasuka" basi wenge lake mpk LeoHehehehehe hapo bado kukosa usingizi, hapo bado kukonda na mabega kupanda juu. Yaani utapata dalili zote za HIV mpaka utakapojitoa kimasomaso na kuamua kupima.
Nenda kapime kwa ajili ya huko nyuma, ila kuhusu hii uliyotumia kinga hauwezi kupata kama uliivaa vizuri na haikupasuka. Kwanza hata kama ilipasuka sio lazima upate HIV.
Huyu Chick nadhani alikuwa nao tangu kitambo ila hakutaka kusema..... Juzi nilipokuwa namkula anasema tumbo linamuuma ikabidi Nipige bao then nimwambie kesho aende hospital!Wee umejuaje anao?
Ulimpima?
Kakueleza anao?
Ilkuaje kuaje umejua anao.
Uzi wako unaacha maswali mengi Sana, hope Umeandika ukiwa na wenge Sana.
Pole sana mkuu[emoji4]
Kama ulitumia Kinga MDA wore wa tendo relax kabisa,Huyu Chick nadhani alikuwa nao tangu kitambo ila hakutaka kusema..... Juzi nilipokuwa namkula anasema tumbo linamuuma ikabidi Nipige bao then nimwambie kesho aende hospital!
Next day akaenda ndo analeta hizo story kuwa Ana Ngoma.......
Wenge linakuja je kanipa?? Lakini si nilivaa kinga?? Vipi kama ningepiga peku?? Au ndom kuchanika??
Maswali haya ndo yapo kichwani yananipa stress...
All in all NASHKURU HATA YEYE ALIKUWA HATAKI NIPIGE PEKU
Miaka 6 sasa sijawai piga dry! Na huyu mama nilikuwa napiga bao 1 tu Mara 4 zote zisizozidi DK 30....Kama ulitumia Kinga MDA wore wa tendo relax kabisa,
KUPATA ukimwi sio rahisi Kama wengi wanavyochukulia.
Otherwise ulisungua MDA mrefu sana dry
Kama Yuko too tight na Hana utelezi wa kutosha hesabu maumivu.Miaka 6 sasa sijawai piga dry! Na huyu mama nilikuwa napiga bao 1 tu Mara 4 zote zisizozidi DK 30....