Kuna mtu ashawahi kushusha nondo kuhusu ugonjwa huu, kikubwa haupo. Mimi sio mtalaamu wa mambo haya ila tafuta thread inayosema inawezakana mtu akalala na mwenye ukimwi na asiupate? Au tafuta uzi unaosema mambo 10 ya usiyoyajua khs UKIMWI.Sahii kabisa,
Ukimwi hauui, kinachoua zaidi ni hofu.
Wale wanaopima Pima hovyo, IPO siku watakipata wanachokitafuta.
Binafs napima ila kwa sababu maalum, sio ovyo ovyo eti kila miez 3.
Ujinga ule.
Ukisoma hizo thread utakuja kuona mabadiliko.