Mwanamke niliyeshiriki naye ngono kakutwa na VVU, nina hofu japo tulitumia kinga

Sahii kabisa,
Ukimwi hauui, kinachoua zaidi ni hofu.

Wale wanaopima Pima hovyo, IPO siku watakipata wanachokitafuta.

Binafs napima ila kwa sababu maalum, sio ovyo ovyo eti kila miez 3.

Ujinga ule.
Kuna mtu ashawahi kushusha nondo kuhusu ugonjwa huu, kikubwa haupo. Mimi sio mtalaamu wa mambo haya ila tafuta thread inayosema inawezakana mtu akalala na mwenye ukimwi na asiupate? Au tafuta uzi unaosema mambo 10 ya usiyoyajua khs UKIMWI.

Ukisoma hizo thread utakuja kuona mabadiliko.
 
Au huenda hataki tu mazoea na wewe tena na anakujua vizuri ni mwoga?.
 
Denda,deki?
 
Yule jamaa alisema apewe damu ya hiv anywe.anaitwa deception
 
Unisex vipi na mtu bila kujuana afya
Hata kama unamjua MTU haigurantee kuwa yuko safe ndo maana nilivaa kinga ( CONDOM) Mara 4 zote niliopokula mbususu take...... Tatizo nimekuwa MUOGA baada ya Taarifa kuwa amewaka!



U heard?
 
Pole sana Mkuu.Ndio hivyo chai inaunguza.Tuombe MUNGU tuache tabia mbaya za uzinifu.
 
Ndio maana wengine hatutaki K mnato na dry, wet pussies hazikupi ngoma hata uoige bao kumi, unless una mavidonda yako toka mwanzo.
 
Mkuu ulivaa ndom ili iweje? Kuzuia mimba?
 
Mkiambiwa msipashe moto viporo mnajifanya hawara haachi....haya sasa!!!!

Ila ukimwi sio mwisho wa dunia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…