Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram


Hii ni opinion ya MTU aliyeyajulia mapenzi ukubwani. Yaani MTU wa miaka 20+ ndio kayajua Mapenzi.
Ila walioyajua mapenzi wakiwa Sekondari below 20yrs huu ushauri hawataupokea hata Kwa RISASI
 
Wakuu, nimemuepuka yule mwanamke. Sasa kuna branch nimeanzishaπŸ₯°
 
Pole sana mzee kama nakuona vile ulikokua unaelekea

 
Mku
Mkuu wakati unafanya nae tendo hujawahi kumgeuza na kucheki tundu yake ya nyuma kama marinda yapo au wahuni washasepa nayo?

Asilimia kubwa ya mademu wanaojiuza telegram wanatoa nyuma ni vile tu ukifika bei anakupa mzigo....hata kama aandiki kuwa anatoa nyuma ila ukimwendea inbox anakwambia huduma zote unapata ..na bei anakutajia. Sasa sijui huyo wako kama yupo salama.

Pia kuwa na shaka sana kama demu wako anakutajia kuwa ana safari za dodoma, mbeya, mwanza, zanzibar na Arusha hiyo ndio mikoa maarufu wanayozunguka kwenda kuuza nyuchi....vipi username yake anajiita nani?

Nilishawahi kufanya utafiti nikawaona wengi wakitumia mitandao ya kijamii kama facebook au insta jinsi wanavyokuwa ni tofauti sana na telegram!

Unakuta mama mtu mzima facebook anajifanya mtu wa Mungu na anaposri familia yake ila ukija telegram ni hatari anapost video kabisa analiwa ndogo ila facebook ni mtakatifu hakuna.

Maisha haya yamejaa unafiki sana
 
Hapo usingekutana nae means ungenunua malaya mwingine. So relax brother, wewe ni mnunuzi nae ni muuzaji.
Kaeni chini jadilini,mkosoane na mkiri kuacha biashara hiyo na mrudieni Mungu.
 
Wewe mnunue na mkutane location.

Hapo ndio utapata cha kuanzia.

Lakini jiandae kujibu swali la "na wewe kwenye group la Malaya wanaojiuza unatafuta Nini", hapo case inakuwa closed huna Cha kumuhukumu ushajua anajiuza acahana nae...
Mwambie rafiki kamwona na kuniambia nije kujionea. Kumbe uongo
 
aisee nililia kwa uchungu sana baada ya kubaki mwenyewe, niliumia sana nikiwaza tulipotoka hadi hapo ilivyokuwa, Binti ni mzuri ila ndio mwisho tena..
Ila Tambua kule mnakoelekea ni mbali na hampajui ila viashiria umeshaonyeshwa. Indicator imewaka mwenzako anaenda uelekeo usio wako.

Uzuri wa mke, sio mke tu, bali mtu, ni tabia. Acha kuuziwa sura
 
Mkuu hapa naomba nisipaelezee zaidiπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…