Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

Nawe ulifuata nini huko? Ndege wafananao...

Huyo sasa ndio mkeo, huoni ulipo yupo!!
Nkuu sina kawaida ya kufanya hivyo Bali nilijiunga tu kutaka kujaribu kwa mara ya kwanza ndio mambo yakaenda mrama
 
Hapo ukute watu wengi tu wanamjua kua ni muuzaji na hawakua na mpango wa kumuoa,wameshangaa sana wewe kutaka kumuoa,na ukute wanajisemea kua kuna mademu wana bahati,yaani pamoja na umalaya wote ule,mshamba mmoja kanogewa anaoa.
Aisee
 
Yaani wanawake wazuri sijui Wana matatizo Gani tu..
 
Amepiga simu baada ya kuona picha zile, ni KULIA tu anaomba nimsamehe sana kwamba sio michezo yake amefanya tu kwa mara ya kwanza
Wote wakikamatwa na ushahidi hujitetea ni mara yao ya kwanza. Siyo tabia yao.
Pole mwamba.
 
Yaani wanawake wazuri sijui Wana matatizo Gani tu..
Hata wabaya wanafanya madudu kama hayo, ukipata mzuri mwingine usiogope kujaribu bahati yako.
Nakushauri usiweke moyo wako wote kwa binadamu yeyote maana upo uwezekano atakusaliti, hivyo ikitokea hutaumia sana kwa vile ulijiandaa kisaikolojia.
 
Hata wabaya wanafanya madudu kama hayo, ukipata mzuri mwingine usiogope kujaribu bahati yako.
Nakushauri usiweke moyo wako wote kwa binadamu yeyote maana upo uwezekano atakusaliti, hivyo ikitokea hutaumia sana kwa vile ulijiandaa kisaikolojia.
Mkuu hapa nimepata fundisho.. nitaishi kwa tahadhari tangu sasa
 
Ungefanya booking
 
Mkuu naomba hiyo link inbox. Kuanzia Leo Hadi mwisho wa mfungo nitakua Dar.
 
Nawe ulifuata nini huko? Ndege wafananao...

Huyo sasa ndio mkeo, huoni ulipo yupo!!
Ata hasingeenda huko akajifanya mtakatifu bado angepigiwa tu. Bora ameenda amjua ataishi na mtu wa namna gani na yeye ajilinde vipi.
Kama atakula kavu akiendelea naye na kujifunza kuzuia wivu au aaachane naye au aishi naye na ale kavu aendelee kupewa assistance akikwama.
Kuna mambo matatu hapo ama mwanamke anampenda jamaa au anataka heshima ya ndoa tu sababu inaonekana hakufuata pesa kwa jamaa.
Kuna hoja ya tatu ambayo inawezekana kweli mwanamke si malaya hajatoka na mtu bali kaenda kutapeli wanunuzi wa mtandaoni.
CC: 2 Chainz_
 
Hili lishamkutaga rafiki yangu alikua anademu anamuelewa vibaya mno kuna siku akaniomba group la malimbwende teregram nikampa katika kufatilia fatilia aliyoyafata akakautana na yule demu aliekua anamkubali anajiuza yani kuhakikisha tukachukua namba nyengine nikamvuta yule demu mpka maeneo alikuja na niyeye anakuja kushangaa anakutana namimi [emoji25][emoji25] na huyo demu alikuaga anamuachia mshikaji hela sio poa
 
Waliendelea na mahusiano?
 
Nkuu sina kawaida ya kufanya hivyo Bali nilijiunga tu kutaka kujaribu kwa mara ya kwanza ndio mambo yakaenda mrama
Hata yeye itakuwa ndio anajaribu tu, au mtu anatumia pich azake. Hivyo kaeni myaongee tu muendelee na maisha.
 
Kataa Ndoa mkuu usihusishe gunia la mkaa utapotea.
Hicho kitumbua tu kaa kwa akili anakuja huyo akumalize.
 
Vumili madhaifu yote ila hili la mwanamke anaejiuza hapana, usiingie kwenye huu moto, kumbuka ndoa ni maamuzi ya maisha, umeshajua kwamba mwanamke anajiuza huyu hafai kuitwa mke na kamwe hawezi kuacha kujiuza

Tuliza akili, mwombe Mungu akupe mtu sahihi, mimi naamini mwanamke anaejiuza hana mshipa wa ufahamu wa aibu, na hii ni kama ulevi ambao hataweza kuuacha hata aingie ndoani

Atakuletea mikosi na mabalaa au magonjwa ndani ya nyumba

Think twice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…