Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

Ushaona mtego wa nyani upewe ushauri gani sasa, Malaya afugiki.
Ingia at your own risk.
 
KILA mwanamke ni malaya kwa wakati wake sema tu ngumu kuyajua ya nyuma ya pazia. Tabia ya mtu haibadiliki
 
😂😂😂 mkuu naona haupendi kuambiwa ukweli , sasa kama anauza unadhani mdau anakuja na 50k (tena kwa sababu ni wa telegram waday huwa wanawanunulia tu pombe na chakula halafu anapewa 30k au chini ya hapo ) anahitaji kupelekwa buza huyo unayetaka kumuoa ataacha 50k kweli na wakati ni kazi yake?

Nionavyo wewe haupo tayari kumuacha na moja ya maswali uliyomuuliza nadhani ni pamoja kama ashawahi kwenda buza na akakuambia hajawahi yeye huwa anaishia kwa rama kibonge tu na ulivyo mzembe ukaamini 😂😂.

Ila sio mbaya maana mmekutana wote mnunuzi na mnunuliwa sasa mnunuzi umecatch feelings unaanza kulia lia .
 
Ushauri wa kipuuzi kabisa, amvumilie malaya!!??
 
Una hangaika nini mkuu tangazo kasha weka kwa uhakiki kua mteja wake ujionee
 
You cant even change yourself. What makes you think you can change someone else?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mpaka kajiunga na magroup aisee Kazidi kipimo cha Umalaya mwanamke kuolewaa japo Wote wanauzaa mkuu[emoji3] So mpotezee kimya kimya ilaa tunza kumbukumbu akikataa Kuachika unamchana live ilaa Nikikumbuka nilimega mke wa mtu kisa elfu 30 ya kikobaa ndo nguvu zinaniishiaa..!
 
Pole sana.
Shukuru Mungu umepata kuyafahamu hayo kabla hamjaifikia hatua kubwa mliyokuwa mmeipanga.
Jaribu kufikiria endapo mngeshaingia kwenye Ndoa kisha likajitokeza hili au jingine ambalo ni kubwa zaidi ya hili.

They say, Everything happens for a reason. Naaamini hata kutokea kwa hili kuna sababu.
Jipe muda wa kutafuta amani ya moyo wako kwanza, na kwa sasa suala la Ndoa iachie nature iamue, wala usifanye presha yeyote.
Pole sana sana kwa changamoto hii.
 
Mkuu je unaona ni vema kumhukumu wakati wewe pia hukua mwaminifu kwake na ulienda mle kutafuta malaya?
Je huu si unafiki mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada wanaume wengi wameoa Malaya bila kujua. Tatizo lako wewe umejua mapema
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Make kwanza ncheke

Binadmu ni wabishi sana. Kuna uzi ulikuwepo humu unasema kila mwanamke ni malaya hata mkeo usimwamini %100. Ila kuna binadamu walikua wakipinga sana wakionesha kuwaamini wapenzi wao. Dunia ya leo sio mwanaume wala mwanamke hakuna kuaminiana kihivyo.

Uzuri umemaliza mwenyewe kuwa ukimuuliza nae atakuuloza wewe telegram ulifuata nini[emoji1787]

In short, Mungu hakutanishi malaika na shetani. Mmekutana wote wa telegram. Kubali umekosa nae amekosa. Kuanzia hapo fanya maamuzi.

Kabla ya kukurupuka pia jua kuwa 50% ya malaya wa telegram hawapost picha zao. Huchukua mitandaoni. Hio ndio sababu kubwa ya watu wanao jiheshimu kama mimi huwa hatuposti picha yoyote mtandaoni. Shida inakuja ni picha za kimalaya, ila kama aliwahi kupiga picha za hovyo na akazipost inawezekena zimetumika tu.

Ushauri: Mfuate telegram ukiwa na fake id. Jifanye mteja, mnunue na umsafirishe aje mkoa ulipo. Akifika akukute ni wewe. Mpange rafiki yako yeyote ajifanye kuwa yeye ndio alikusanua kuwa demu wako yupo telegram. Ndio ukajiunga na group na kumkuta kweli ni yeye. Yatakayofuata utajua mwenyewe.

Mwisho, hio ndio faida ya kumchunguza mchumba wako. Sasa umemjua na maamuzi ni yako
 
Naomba namba yake alichofanya sio sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…