Mwanamke nimemtongoza ndani ya wiki na ndani ya wiki hii ananiomba hela ya kodi na hela ya keki ya birthday

Mwanamke nimemtongoza ndani ya wiki na ndani ya wiki hii ananiomba hela ya kodi na hela ya keki ya birthday

Kusini kuchele

Senior Member
Joined
May 21, 2023
Posts
129
Reaction score
733
Wanawake nimewanyooshea mikono aisee

Yaani hawa wanawake ni hatari aisee

Yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia, gesi imeisha na ndani ya wiki hii ana birthday kwahiyo nimnunulie keki ya happy birthday

Aisee ndugu zangu mko vema sana
 
Wanawake wa kisukuma nimewanyooshea mikono aisee yaani hawa wanawake ni hatari aisee yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia,gesi imeisha na ndani ya wiki hii ana birthday kwahiyo nimnunulie keki ya happy birthday aisee ndugu zangu mwanike mko vema sana
Tena amesahau kukwambia mamake anaumwa kijijini anahitaji hela ya matibabu halafu simu yake imeharibika 😀
 
Wanawake nimewanyooshea mikono aisee yaani hawa wanawake ni hatari aisee yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia,gesi imeisha na ndani ya wiki hii ana birthday kwahiyo nimnunulie keki ya happy birthday aisee ndugu zangu mwanike mko vema sana
Vita vya korosho na Sukumaland bado vinaendelea.
 
Back
Top Bottom