Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Umenikumbusha mbali haya mambo ya akina
Emmanuela
Emmanuela
Kunywa Pepsi baridi kwa Mangi usisahau na kabiscuit ka itsammoo🤗🤗🤗🤗🤗Ujinga 🚮
Hata kutofautisha wanashindwa 😅 tumuhakikishie tu sio wa kwanza na wa mwisho na huyo ombaomba wake hayupo humu, naendelea kusonya pepsi yangu hapa🤝🏽Kunywa Pepsi baridi kwa Mangi usisahau na kabiscuit ka itsammoo🤗🤗🤗🤗🤗
Wanaokota wanawake kwenye vigodoro huko wanakuja kutupigia kelele hapa!