Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 129
- 733
Tena amesahau kukwambia mamake anaumwa kijijini anahitaji hela ya matibabu halafu simu yake imeharibika 😀Wanawake wa kisukuma nimewanyooshea mikono aisee yaani hawa wanawake ni hatari aisee yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia,gesi imeisha na ndani ya wiki hii ana birthday kwahiyo nimnunulie keki ya happy birthday aisee ndugu zangu mwanike mko vema sana
Mjomba amemeza shoka🥲Tena amesahau kukwambia mamake anaumwa kijijini anahitaji hela ya matibabu halafu simu yake imeharibika 😀
Miujiza-Ajichapie bila bugudha mpaka achoke apite vileeKwani wewe ulivyomtongoza ulitaka nini?
Angeanza na binamu zake km rahisi..!!Miujiza-Ajichapie bila bugudha mpaka achoke apite vilee
Binamu nyama ya hamu wanasema.. uko sahihi😁Angeanza na binamu zake km rahisi..!!
Vita vya korosho na Sukumaland bado vinaendelea.Wanawake nimewanyooshea mikono aisee yaani hawa wanawake ni hatari aisee yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia,gesi imeisha na ndani ya wiki hii ana birthday kwahiyo nimnunulie keki ya happy birthday aisee ndugu zangu mwanike mko vema sana
Mpaka tuuane!Vita vya korosho na Sukumaland bado vinaendelea.