figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Ndo avae mawigi? Eleweni Maandiko. Amepewe nywele sio amepewa katani1 Wakorintho 11:15
Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi.
[emoji1787][emoji1787]Watu tunaangalia Tako we upo bize na nywele ukija kuibiwa mume unamsingizia shetani
Uzuri walikuja wakavikuta 🤭😃Haha..
Na hivi vipara vya kuruta..? Sioni tukitoboa mdogo wangu..!!
Kheeeh' wakavipenda hivyo hivyo, na hivi wamepunguziwa gharama za saloon, wanashukuru sana..!Uzuri walikuja wakavikuta 🤭😃
Hongera zao kwa kweli 😂Kheeeh' wakavipenda hivyo hivyo, na hivi wamepunguziwa gharama za saloon, wanashukuru sana..!
Weka pichaHabari wakuu,
Au nasema uongo ndugu zangu...
Mwanamke nywele bana, yaani unywele alafu wa kwake sio fekero.
Mtoto anaachia unywele unashuka mpaka kwa mgongo jamani.
Nywele nzuri safi zinapendeza kwa mwanamke na kivutio kwa mpenzi wake.
Hapa siongelei like wigi la Masanja hahaaa na semea Ile nywele ya asili ambayo Haina dawa alafu imekuwa ndefu.
Kuna wale wanzangu na mie ambao tumeweka dawa, alafu unywele unywele jamani yaani unagusa mgongo.
Acha wivu basi wewe mwanamke mwenye kipilipili, tulia watu waringe na nywele zao.
Achana na marasta muwasho, hapa ni nywele Ile uliyoumbwa nayo.
Wakaka wanapendezwa pia na nywele jamani mdada anafunua kibanio chake unywele kama unywele unamwagika.
Nyie acheni, mwanamke ni nywele na urembo unaongezeka jamani.
Wapewe maua yao wanawake wote ambao wana nywele ndefu za kupendeza.
Vipara kama vya kiumeni uzi hauwahusu...
dreads za miaka 10+ tunahesabu?Hakuna mwanamke wa kibantu ana nywele za kufika mgongoni.
Hapana tunahesabu nywele asilia wacha dreads za kuunga na kamba au nywele bandia.dreads za miaka 10+ tunahesabu?
ndio mkuu dreads za kusokota hakuna nywele bandia zile wanaita sjui rastaHapana tunahesabu nywele asilia wacha dreads za kuunga na kamba au nywele bandia.
Wanaongezea kwenye nywele.ndio mkuu dreads za kusokota hakuna nywele bandia zile wanaita sjui rasta
ni mtu wangu wa karibu kabisa nina uhakikaWanaongezea kwenye nywele.
Hata vuz nalo ni nyweleHabari wakuu,
Au nasema uongo ndugu zangu...
Mwanamke nywele bana, yaani unywele alafu wa kwake sio fekero.
Mtoto anaachia unywele unashuka mpaka kwa mgongo jamani.
Nywele nzuri safi zinapendeza kwa mwanamke na kivutio kwa mpenzi wake.
Hapa siongelei like wigi la Masanja hahaaa na semea Ile nywele ya asili ambayo Haina dawa alafu imekuwa ndefu.
Kuna wale wanzangu na mie ambao tumeweka dawa, alafu unywele unywele jamani yaani unagusa mgongo.
Acha wivu basi wewe mwanamke mwenye kipilipili, tulia watu waringe na nywele zao.
Achana na marasta muwasho, hapa ni nywele Ile uliyoumbwa nayo.
Wakaka wanapendezwa pia na nywele jamani mdada anafunua kibanio chake unywele kama unywele unamwagika.
Nyie acheni, mwanamke ni nywele na urembo unaongezeka jamani.
Wapewe maua yao wanawake wote ambao wana nywele ndefu za kupendeza.
Vipara kama vya kiumeni uzi hauwahusu...
🤣 Sio ubishi fukunyua hizo nywele kama hujakuta ukindu.Wacha kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Narudia hakuna binti mbantu asili ana nywele za kufika mgongoni.ni mtu wangu wa karibu kabisa nina uhakika
sema wewe unaonekana tu ni mbishi
mbishi kama tui la nazi🤣 Sio ubishi fukunyua hizo nywele kama hujakuta ukindu.Wacha kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Narudia hakuna binti mbantu asili ana nywele za kufika mgongoni.