Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Mimi ninazo aiseeeHujajibu swali wewe ni mbantu?Kama wewe ni mbantu 100% huwezi kuwa na nywele zikafika mgongoni.Lazima uweke extension ya Brazil.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninazo aiseeeHujajibu swali wewe ni mbantu?Kama wewe ni mbantu 100% huwezi kuwa na nywele zikafika mgongoni.Lazima uweke extension ya Brazil.
Trust me ninazo ndefuuuHujajibu swali wewe ni mbantu?Kama wewe ni mbantu 100% huwezi kuwa na nywele zikafika mgongoni.Lazima uweke extension ya Brazil.
Itabidi huu mwaka tujitahidi kuondoa hii phobia, au unaonaje?Nikajua ni peke yangu ninaye umwa threadphobia kumbe tupo wengi mama mtumishi😅😅😅👐
Umefungiwa ndaniHakuna mwanamke wa kibantu ana nywele za kufika mgongoni.
Kwel kabisa kama utaanza utaniita mama mtumishi 😅Itabidi huu mwaka tujitahidi kuondoa hii phobia, au unaonaje?
Hamna cha kufungiwa ndani wala nje.Nywele ni asili ya mtu.Mbantu hana nywele za kufika mgongoni labda achanganye na asili zingine.Ndio sababu biashara za wiki zimechanganya sana.Umefungiwa ndani
😅😅😅😅Kwel kabisa kama utaanza utaniita mama mtumishi 😅
#fightingThreadphobia👐
SasawaHamna cha kufungiwa ndani wala nje.Nywele ni asili ya mtu.Mbantu hana nywele za kufika mgongoni labda achanganye na asili zingine.Ndio sababu biashara za wiki zimechanganya sana.
Hawa wanaofuga rasta inakuwaje?mbona nao wengine zimefika Hadi kwenye makalioHamna cha kufungiwa ndani wala nje.Nywele ni asili ya mtu.Mbantu hana nywele za kufika mgongoni labda achanganye na asili zingine.Ndio sababu biashara za wiki zimechanganya sana.
Hizo ni extension za katani na nywele zingine za bandia.Hawa wanaofuga rasta inakuwaje?mbona nao wengine zimefika Hadi kwenye makalio