Mwanamke nywele bana, yaani unywele halafu wa kwake sio fekero

Mwanamke nywele bana, yaani unywele halafu wa kwake sio fekero

Habari wakuu,

Au nasema uongo ndugu zangu...

Mwanamke nywele bana, yaani unywele alafu wa kwake sio fekero.

Mtoto anaachia unywele unashuka mpaka kwa mgongo jamani.

Nywele nzuri safi zinapendeza kwa mwanamke na kivutio kwa mpenzi wake.

Hapa siongelei like wigi la Masanja hahaaa na semea Ile nywele ya asili ambayo Haina dawa alafu imekuwa ndefu.

Kuna wale wanzangu na mie ambao tumeweka dawa, alafu unywele unywele jamani yaani unagusa mgongo.

Acha wivu basi wewe mwanamke mwenye kipilipili, tulia watu waringe na nywele zao.

Achana na marasta muwasho, hapa ni nywele Ile uliyoumbwa nayo.

Wakaka wanapendezwa pia na nywele jamani mdada anafunua kibanio chake unywele kama unywele unamwagika.

Nyie acheni, mwanamke ni nywele na urembo unaongezeka jamani.

Wapewe maua yao wanawake wote ambao wana nywele ndefu za kupendeza.

Vipara kama vya kiumeni uzi hauwahusu...
Ma shaa Allah, wenye nywele zetu tunazionesha kwa wanao husika tu.

Yanini hasad.
 
Halafu wanavyojiona wamependeza sasa. Ukimjoke ukamwambia Umependeza, utasikia asante. Hahahaaa...!

Upendekeze kwa makati ya Tanga kama sungusungu.. Basi akigeuka na makatini yake namng'ong'a..

Sipendi hawa wanaovaa makatati yaliyotiwa rangi nyeusi. Kwanza wengi ni washerati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom