mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
poa lamama, baridaPisi kali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa lamama, baridaPisi kali.
Lakini yaache ku messin' with my mind.Haswaaaa
anunue na rizla kabisa ani😂😂 nyoa,, utapendeza kama mimi
Rules gotta be followed "baba wa la mama"poa lamama, barida
Hata sisi ni watu wa karibu yako rafiki.Hayo ni mawazo yako.. To me akiziona Mr na watu wanaonizunguka it's enough
Yataacha soon Tulia natafuta dawa🤪Lakini yaache ku messin' with my mind.
Ushauri unafuatwa😇😂😂 nyoa,, utapendeza kama mimi
Ipatikane haraka,najihisi siko huru.Yataacha soon Tulia natafuta dawa🤪
Soon😇.Ipatikane haraka,najihisi siko huru.
anunue na rizla kabisa ani
Ila nitakuelezea kitu😂Achana na huyo mmasai 😂
Tupo wengi😭Kwakweli nywele sijajaliwa ngoja nipite hivi
Nanyoa na kusuka ht sieleweki 🤣🤣Tupo wengi😭
Ko umenyoa au unalazimisha kusuka🥴😂?
Dah huyu afadhali hata dada yangu wa Njiro. Hujui Rizla?Hukai Arusha?Rizla ndio nini Depal 😐😂?
Usitoe nywele,please.Tupo wengi😭
Ko umenyoa au unalazimisha kusuka🥴😂?
🤣🤣🤣 mimi ndio nanyoa hivyoNanyoa na kusuka ht sieleweki 🤣🤣
Nikijisikia kusuka nasuka vikichachamaa nanyoa
Nimefulia😂😂😂Usitoe nywele,please.