Dah udang'a nimekumbuka mbali sana wacha tu.mimacho upara/mimacho udang'a🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah udang'a nimekumbuka mbali sana wacha tu.mimacho upara/mimacho udang'a🤣
Yaani hapa ziko mbaya aisee 😂😂😂.Njoo nikuone kabla hujakata hizo nywele.
😂😂😂mimacho upara/mimacho udang'a🤣
Unataka uwe na nywele kama zangu?🤣Yaani hapa ziko mbaya aisee 😂😂😂.
Ulishawahi kuona nywele ambazo hazina shukrani?
Yaani ningepewa hizo nywele zako Mbona ningefurahi.Unataka uwe na nywele kama zangu?🤣
Yaani,unalishwa makatani huku unaona? Hapana aiseNywele pia Zina kazi yake, labda wewe mwenzetu huijui [emoji23][emoji23]
Nywele zangu tena? Si hupendi wewe hizi nywele za kawaida unataka dreads n.k.Yaani ningepewa hizo nywele zako Mbona ningefurahi.
Nywele zangu zinakatika sana sijui shida ni matunzo😂😂😂😂😂
Sipendi dreads wallah, naonaga ni uhuni 🤒.Nywele zangu tena? Si hupendi wewe hizi nywele za kawaida unataka dreads n.k.
Nataka nikuone na hizo nywele.
Utengeneze nini?Sipendi dreads wallah, naonaga ni uhuni 🤒.
Ngoja nipate hela nitengeneze 😂.
Unataka utoe hizo nywele mimi nitakuwa navuta nini?ngozi ya kichwa?Sipendi dreads wallah, naonaga ni uhuni 🤒.
Ngoja nipate hela nitengeneze 😂.
Tako hata machina kashaleta halina maana Tena ..
turkey wakiweza na penis enlargement watakua wameteka medical tourismNywele uturuki unafanya hair transplant bei ndogo tu. Wale wenye makomwe wanaongezewa pia kuficha komwe. Ngoma draw
View attachment 2872536
View attachment 2872537
Bila picha, uzi bado haujakamilika huu.[emoji23][emoji23][emoji23] kabisa sio mnuko...
Mimi bila ya kuona picha za makochi siridhiki.Mafundi wa Arusha wamekuwa hatari.Kuna maelekezo ya ziada kwani zaidi ya kwenda saloon za kiume? 😂😂
Nitengeneze nyweleUtengeneze nini?
Nataka ninyoe kama wewe😂Kuna maelekezo ya ziada kwani zaidi ya kwenda saloon za kiume? 😂😂
😂😂😂 basi sinyoiUnataka utoe hizo nywele mimi nitakuwa navuta nini?ngozi ya kichwa?
Dada kumbe mtaalamu wa kunyoa kwanini tunafichana?Depal naomba unipe maelekezo ya kunyoa. Nimeshachoka hizi nywele ambazo hazikui🥴🥴