Mwanamke nywele bana, yaani unywele halafu wa kwake sio fekero

Mwanamke nywele bana, yaani unywele halafu wa kwake sio fekero

Wakaka wanapendezwa pia na nywele jamani mdada anafunua kibanio chake unywele kama unywele unamwagika.
nashukuru sijawahi kupata mwanamke mwenye wigi, tungekimbiana asubuhi, huwa yananukaaaa halafu wala hayawapendezi hata kidogo, huwa napenda mwanamke ako na natural hair ziwe ndefu au ziwe zimenyolewa au ziwe zimepunguzwa halafu zikapakwa sijui mnaita dawa sijui kitu gani zikawa nyeusi flani hivi aaagh mbona nitakupa hata shamba la urithi.... siku njema
 
Back
Top Bottom