Unamtendea wema kwani ulipewa na wazazi wake ili umtendee wema ambao utataka uone anakushukuru, ulijiingiza mwenyewe kwenye mtego lazima akuonyeshe kuwa hawezi kunasa kwenye huo mtego ndio maana sio lazima akushukuru unategemea nini, wasichana wanapokea zawadi kwa tamaa ili ashindane na wengine au naye aonekane yuko matawi ya juu, kwanza msichana anayejielewa hapokei zawadi hovyo hovyo pamoja na kuwa maisha magumu lazima apate sababu ya msingi kwanini unampa na lazima atajua unataka kumrubuni, huyo anayepokea hizo zawadi ndio wale wanao sumbua badae unaanza kujuta maana hata wewe ulimpa hiyo zawadi kiujanja ujanja sasa ulitegemea iweje lazima uone kama hana shukrani maana ulileta kimtego na kiujanja lazima na yeye akujibu hapo badae kuwa hajakuomba na hakuwa anahitaji zawadi yako ulilazimisha kwa hiyo usitegemee chochote toa akipokea potezea kama vile hukutoa. BASI si vinginevyo