Mwanamke si wa kumfadhili

Mwanamke si wa kumfadhili

Yamekukuta kaka!! Pole si wazuri hao. Yaani hakuna jema wanalokumbuka wanapoanza kutenda maovu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mwanamke haridhiki labda apate kifo ndo huridhika
 
Baadhi ya wanawake Mkuu si wote. Wengine wana ubinadamu wa hali ya juu hawatasahau mema yako hata siku moja. Hata humu kuna mifano ya kutosha.



Tenda wema uende zako,ila usisahau kuwa mwanamke si mtu wa kumtendea mema.

Huwa hawana shukuru hawa watu.
 
Mh!leo ni friday mkuu ucjal labda kapata wa weekend..J3 asubuhi atakucheki polee
 
Tenda wema uende zako,ila usisahau kuwa mwanamke si mtu wa kumtendea mema.

Huwa hawana shukuru hawa watu.
Usimtendee mwanamke wema hata siku moja hasa Mama yako, Dada na Binti yako hawana thamani kabisa ikibidi watemee mate kabisa kila asubuhi.
 
Unamtendea wema kwani ulipewa na wazazi wake ili umtendee wema ambao utataka uone anakushukuru, ulijiingiza mwenyewe kwenye mtego lazima akuonyeshe kuwa hawezi kunasa kwenye huo mtego ndio maana sio lazima akushukuru unategemea nini, wasichana wanapokea zawadi kwa tamaa ili ashindane na wengine au naye aonekane yuko matawi ya juu, kwanza msichana anayejielewa hapokei zawadi hovyo hovyo pamoja na kuwa maisha magumu lazima apate sababu ya msingi kwanini unampa na lazima atajua unataka kumrubuni, huyo anayepokea hizo zawadi ndio wale wanao sumbua badae unaanza kujuta maana hata wewe ulimpa hiyo zawadi kiujanja ujanja sasa ulitegemea iweje lazima uone kama hana shukrani maana ulileta kimtego na kiujanja lazima na yeye akujibu hapo badae kuwa hajakuomba na hakuwa anahitaji zawadi yako ulilazimisha kwa hiyo usitegemee chochote toa akipokea potezea kama vile hukutoa. BASI si vinginevyo
 
Tenda Wema uwende Zako usingoje shukurani sio kwa mwanamke kwa kiumbe Chochote.
 
Back
Top Bottom