Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenda wema uende zako,ila usisahau kuwa mwanamke si mtu wa kumtendea mema.
Huwa hawana shukuru hawa watu.
Mkuu kunywa maji kidogo, wacha dawa ikuingieTenda wema uende zako,ila usisahau kuwa mwanamke si mtu wa kumtendea mema.
Huwa hawana shukuru hawa watu.
Kweli kabisa hasa Mama yako Hadi afe ndo ataridhika.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mwanamke haridhiki labda apate kifo ndo huridhika
Usimtendee mwanamke wema hata siku moja hasa Mama yako, Dada na Binti yako hawana thamani kabisa ikibidi watemee mate kabisa kila asubuhi.Tenda wema uende zako,ila usisahau kuwa mwanamke si mtu wa kumtendea mema.
Huwa hawana shukuru hawa watu.
pole aseehMkuu ni hatareee,