Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Mm na yeye tushaachana, shida mm nataka kuwa karibu na mwanangu, Sina shida na yeye nataka mwanangu niwe karibu nae, Ili niishi nae maana mtoto now ana miaka 6 inaenda
Nenda Ustawi wa jamii
Dawati la jinsia
Huko utapata msaada tosha kabisa .
Utampata mtoto au kuwa una muona pale unapo mkumbuka
 
Mkuu unasikitisha vilevile unachekesha sana. Huyo mwanamke alikuroga sio bure. Baba ni Kichwa cha familia ukishindwa kutimiza majukumu yako wenzako watakusaidia.Huyo Mtoto ni wako tu Akikua atakutafuta ila huyo mkeo Alikufanya dekio asee tena la chooni
 
Back
Top Bottom