Mm na yeye tushaachana, shida mm nataka kuwa karibu na mwanangu, Sina shida na yeye nataka mwanangu niwe karibu nae, Ili niishi nae maana mtoto now ana miaka 6 inaenda
Mkuu unasikitisha vilevile unachekesha sana. Huyo mwanamke alikuroga sio bure. Baba ni Kichwa cha familia ukishindwa kutimiza majukumu yako wenzako watakusaidia.Huyo Mtoto ni wako tu Akikua atakutafuta ila huyo mkeo Alikufanya dekio asee tena la chooni