Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Huyo mwanamke mnafiki bora hata asingeomba msamaha ningejua ameomba msamaha...
 
Ndiyo maana mandiko yanasema unatakiwa kuishi na mwanawake kwa AKILI maana wao ni WEREVU sana
 
Huyo jamaa ni boya au kama sio basi atakua ni marioo.
 
Naomba talaka.
natamani ningefanya hivyo ila nimejikaza nisikwambie
nimeona nitalipuka moyoni
laba kama kweli unataka reason njoo pm nitakutumia hadi voice note
 
yaan visas vya wanawake mpaka shetan mwenyewe huwa anakaa pemben kujifunza[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…