Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Kiukweli walishafika mbali sana, mwaka wa 2 wako pamoja huu! Na kwa mipango ni mingi tayari washafanya ya kujijenga ila ndio hivyo, mwanamke anaweza vunja uaminifu uliojengwa kwa miaka kwa sekunde chache tu na kukosa kufikiri sawa sawa, mwanamke alirudi jana jioni na kuomba msamaha kwa majuto sana kisha akamwambia jamaa kwamba anajua kamkosea pakubwa hastahili msamaha anaona hana nafasi tena kabisa, ikibidi amove on tu na maisha yake, hatoweza kushuhudia jinsi jamaa anavyokosa raha katika uhusiano wao. Jamaa hajamjibu lolote, kakausha tu! Ila nahisi atamfix pahala tu. Akili za wahuni tunazijua wahuni!
Huyo mwanamke mnafiki bora hata asingeomba msamaha ningejua ameomba msamaha...
 
Ndiyo maana mandiko yanasema unatakiwa kuishi na mwanawake kwa AKILI maana wao ni WEREVU sana
 
Huyo jamaa mwenyewe alitaka kudanganywa sababu kwani mgeni hawezi lala hapo sebleni au si angesubiri aje ndipo wajue namna ya kumlaza huyo mgeni au kama ndio jamaa kuondoka angeondoka.

Mwenyewe ndio sababu ya kufanyiwa hiyo mnayoiita akili sababu hajui kijiongeza. Pole kwake.

Hivyo kachukua maamuzi gani?
Huyo jamaa ni boya au kama sio basi atakua ni marioo.
 
Naomba talaka.
natamani ningefanya hivyo ila nimejikaza nisikwambie
nimeona nitalipuka moyoni
laba kama kweli unataka reason njoo pm nitakutumia hadi voice note
 
Back
Top Bottom