Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!



Alafu hakuna sehemu inamtaka mtu amuamini mwingine. Sheria inasema hivi "Mpenda jiran yako kama nafsi yako ilivyo" Kuna hii "Enyi wanaume wapendeni wake zenu" chukua na hii "Enyi wanawake watiini waume zenu katika Bwana".

Mungu pekee ndiye anapaswa kuaminiwa. Sisi tumeagizwa tuwapende. Huko kumuamini mke/mume wako ni kujipendekeza na kujitafutia maumivu yasiyo yalazima. Ukimuamini mtu unavunja kanuni ya mahusiano. Kumuamini mtu ni dhambi. Na dhambi inauma na inamadhara moyoni. Kumpenda mtu ni kushika amri ya Mungu ambayo hukupa raha na furaha. Kumuamini utu ni ushamba
 
Tunazidi kuwa sugu na kuhisi usariti ni kitu cha kawaida
 
Kweli kabisa. Laiti tungeacha kuaminiana hata maumivu ya mapenzi yangepungua sana. Mtu unamuamini mtu unajiweka mzima mzima madhara yake ndo hayo.
 
Kweli kabisa. Laiti tungeacha kuaminiana hata maumivu ya mapenzi yangepungua sana. Mtu unamuamini mtu unajiweka mzima mzima madhara yake ndo hayo.


Kupenda hakuumi ila kuamini umpendae anakupenda kumbe hakupendi. Au huenda anakupenda lakini anafanya upuuzi. kwa vile uliamini hawezi kukusaliti basi unajikuta katika shimo la siafu waumao moyo wako. Kipendacho roho hula nyama mbichi hiyo ni moja ya kanuni ya upendo. Ambayo kwenye Biblia wameisema kama upendo uvumilia, husitiri, haujivuni, hauhesabu mabaya n.k. Lakini kumuamini mtu ni kumuwekea kiwango fulani cha matendo yake. Sasa atakaposhuka kiwango hicho matokeo yake imani inakufa.

Mtu anatakiwa awe na upendo na si Imani kwenye ishu ya mapenzi
 
mie ningemchukua.. huyo jama alafu ningemwambia avae helmet yake vizuri.. alaf ningejifungia nae ndani.. nachukua BAKORA au natumia ngumi tu.. napiga kote.. kichwani simpigi maana nitamuua
Hahahahah ungemuua jamaa alivyoambiwa toka kumame alivunja uwa sijui hata pikipiki aliiwashaje
 
Haahaa!! Hizi ni kauli za wanaume wajinga na wanaopenda kufikiri mambo mepesi mepesi. Mwanamke hawezi kumzidi mwanaume halisi akili. labda hao wajinga wajinga na wanaopenda mambo mepesi
Haijawahi tokea mwanamke akawa na akilakili kuliko dume wacha wapuuzi wajifariji tu. Ukiona mwanaume katulia tu wakati anafanyiw ushenzi ujue kaamua kupuuzia tu. Hawa ni wengi!
 
Wanawake wanaakili nyingi sana kuliko sisi wanaume...ndyo maana huwa nawaheshimu na kuwaogopa!
sasa hilo "tukio alilolifanya huyo mwanamke " ni akili nyingi "au ni ujinga ""!??

binafsi " huwezi niambia kuwa una dada yako ambaye ni mgeni wetu" halafu nisihitaji kuonana nae"...kwa minajili ya kumjulia hali" na kufahamiana nae zaidi
 
Wakikujibu watatu tu hili swali lako nitag Mumy. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnadhidi kujidhihirisha mlivo dhaifu yan jamaa kawasifia kua MNA akili bhas mshajisahau naona mnacheka cheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…