KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Habari za muda huu waungwana wa humu jamvini.
Katika ulimwengu wa soka na wapenda soka kumezuka habari mbaya kwa upande wa mwalimu wa soka safi lenye kuvutia anajulikana kama GUARDIOLA.
NDOA yake ya miaka 30 kama sijakosea imefikia tamati juzi Kati....huku kocha wa mpira akipoteza jumba lake la kifahari pale Uingireza na nusu ya kile alichokivuna kwa jasho lake kwenye maisha yake ya ukiacha.
Wakati aliyekuwa mke wa kocha akihitimisha NDOA yao alinukuliwa akisema ya kwamba bwana amekuwa bize mno na kazi kiasi kwamba muda wa kukaa na familia yake umekuwa mchache sana.
Mwanamke huyo ameshinda kuelewa kuwa kazi hiyo anayosema kuwa imekuwa ikimuweka bize mumewe ndio iliyomfanya yeye kupata nyumba ya kifahari hapo London na kuchukua nusu ya utajiri wa Kocha wa boli.
Kazi hiyo hiyo anayosema kuwa mumewe imemuhangaisha ndio hiyo hiyo ilikuwa inawafanya waende Vacation kila mwisho wa mwaka maeneo mbali mbali ya starehe duniani.
Ama kweli tuishi nao kwa akili maana wao wameweka akili nyuma na kuweka hisia mbele.