Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana



Toa ushauri na wanaume na wao watazame nini ili washikamane
 
Achana nao wajinga hao, hata hawajui wanataka nini kwenye maisha haya. Wasikuumize kichwa
 
Ama kweli watu hatufanani. Ulivyovitaja kama vigezo vikuu kwangu sivyo ninavyohitaji kutoka kwa mwanaume wa kujenga nae familia.

Lakini, naheshimu mtazamo wako Joannah na wote wenye vipaumbele hivyo.
Kila mmoja na namna anavyoyaona maisha.
Wewe ni wife material Nifah haya mambo huwezi elewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…