Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshikilie tu hivyo hivyo,au nasema uongo?Vipi kama kafanya kimoja katika hayo?
Wewe unazingatia nini mkuu?Ama kweli watu hatufanani. Ulivyovitaja kama vigezo vikuu kwangu sivyo ninavyohitaji kutoka kwa mwanaume wa kujenga nae familia.
Lakini, naheshimu mtazamo wako Joannah na wote wenye vipaumbele hivyo.
Kila mmoja na namna anavyoyaona maisha.
WakunyumbaLeejay49 mdogo wangu yeye ni mwendo wa real love...
Hazingatii Pesa pitia juu huko ameshajibuWewe unazingatia nini mkuu?
😂😂😂 jamaniKwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.
NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
1. Heshima ~ Mwanaume ambaye sitosita kumtambulisha kokote. Hii ni deep, kuanzia yeye binafsi hadi kwangu.Wewe unazingatia nini mkuu?
Joannah ,kwa upande wangu, wanawake nimeamua kuwaacha kama mlivyo, hata tupeleke moto usiku kuchwa lakini kuridhika hamjawahi...Sasa hapo ndio kwenye msingi wa andiko...ukute mteja ana jambo...ndio maana nasema ukipata Mtu kakufungilia genge na kibo mnafika Sasa ni kushikamana tu
abeeeeKwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.
NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Hawezi kuwa na vyote vingine mtatumia vyakoEeeh kabisa,Sasa sijui tuwafosi vipi Ili wawe na vyote?
Mfano sasa hivi mda huu nipo kwenye mgahawa zimeingia pisi mbili kali,zimetangulizwa then vibabu vyao vimewafuata kwa nyuma. Mmmoja sijui hana experience ila anavyo ongea na kibabu chake anaona aibu na hayupo comfortable kabisa.Kwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.
NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Tatizo hiloMfano sasa mda huu nipo kwenye mgahawa zimeingia pisi mbili kali,zimetangulizwa then vibabu vyao vimewafuata kwa nyuma. Mmmoja sijui hana experience ila anavyo ongea na kibabu chake anaona aibu na hayupo comfortable kabisa.
Kusema ukweli wanaume ambao mnawataka nyinyi wa kuwapa hela kwa ajili ya vitu luxury ni vibabu na wanaume za watu. Ila vijana ambao ni age yenu uwezo wao ni kuwapa mahitaji ya MSINGI.Swala lenu mkubali kuwa nyumba ndogo au single mother. Yaani siku hizi mnataka kijana anaye jitafuta ahandle vikoba,mikopo,michezo majina matatu ahandle kijana mwenzako ambaye anajitafuta.
Tatizo siku hizi hamjui kutofaitisha lipi hitaji la msingi lipi ni luxury na wengine hata zile feelings za mapenzi mshapoteza, mnafikiria hela sometimes mkikutana na wahuni wana watumia vibaya kingono na nyinyi mnaona sawa.
Yaani na watizama hawa mabinti hapa hata ile chemistry huioni bali tu wanatizama pochi basi.
aiseeeee mama.....Kwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.
NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
ambae ana uniform kamili right 😀Hapa maongezi ni mwenye full sio,mwenye kimoja.