Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Kwema?

Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.

Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.

NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
What are you offering? Unafikiria tu kupewa hiki na hiki We unatoa nini ili ustahili vyote unavyotaka?
 
1. Heshima ~ Mwanaume ambaye sitosita kumtambulisha kokote. Hii ni deep, kuanzia yeye binafsi hadi kwangu.

2. Upendo~ Huu uwe ni pande zote, tupendane haswa, tuishi na kuzeeka tungali tunapendana.

3. Amani ~ Mimi ni muwazi, hivyo napenda mwanaume wangu awe ni kimbilio langu katika kila kitu. Baada ya yote, yeye awe tumaini langu.

Good news ni kwamba Mungu amenibariki kwa kaka mzuri tayari, Alhamdulillah.
Masha Allah!
 
Ila mkuu kuna uzi wako fulani hivi wa kimbeya, ulisema kigezo cha kwanza unachozingatia kwa mwanaume wa kuwa naye, ni lazima na yeye awe mbeya( yani mfanane tabia) 😅😅 au nakufananisha mkuu???
 
𝗨𝘀𝗶𝘀𝗮𝗵𝗮𝘂 𝗽𝗶𝗮 𝘁𝘂𝗽𝗼 𝘄𝗮𝗻𝗮𝘂𝗺𝗲 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗼 𝗻𝗶 𝗳𝘂𝗹𝗹 𝗽𝗮𝗰𝗸𝗮𝗴𝗲, 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝘁𝘂𝗻𝗮𝗽𝗿𝗲𝘁𝗲𝗻𝗱 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗸𝗶𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘄𝗮𝗽𝗼 𝗵𝗮𝗽𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝗮𝗹𝗲𝗻𝗴𝗼 𝗯𝗶𝗻𝗮𝗳𝘀𝗶.
 
Back
Top Bottom