Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

1. Heshima ~ Mwanaume ambaye sitosita kumtambulisha kokote. Hii ni deep, kuanzia yeye binafsi hadi kwangu.

2. Upendo~ Huu uwe ni pande zote, tupendane haswa, tuishi na kuzeeka tungali tunapendana.

3. Amani ~ Mimi ni muwazi, hivyo napenda mwanaume wangu awe ni kimbilio langu katika kila kitu. Baada ya yote, yeye awe tumaini langu.

Good news ni kwamba Mungu amenibariki kwa kaka mzuri tayari, Alhamdulillah.
Nifah wewe ni Allien...au unaandika hivi Kwa vile kaka mzuri anasomaaaa🙄🙄🙄🙄🙄sema kweli hupendi Hela na kufika kibo?
 
Back
Top Bottom