Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Yani pale unamfikisha dem kileleni analia kwa uchungu mtamu kwa sauti kubwa huku akitupa mikono hovyohovyo ukimuangalia kwa mshangao yani hapo ukamilifu wa uumbaji wa Mungu unajidhihirisha waziwazi bila pasi na shaka.

Acheni sirgodi aitwe sirgodi.

A masterpiece from the master Himself!
Acha tu ibaki kuwa hivyo, ujanja wake wote chali
 
1. Heshima ~ Mwanaume ambaye sitosita kumtambulisha kokote. Hii ni deep, kuanzia yeye binafsi hadi kwangu.

2. Upendo~ Huu uwe ni pande zote, tupendane haswa, tuishi na kuzeeka tungali tunapendana.

3. Amani ~ Mimi ni muwazi, hivyo napenda mwanaume wangu awe ni kimbilio langu katika kila kitu. Baada ya yote, yeye awe tumaini langu.

Good news ni kwamba Mungu amenibariki kwa kaka mzuri tayari, Alhamdulillah.
Nikiwa mkubwa nataka nipate mwanamke wa kufanana na wewe Nifah. Kama uyasemayo ndio unayaishi nje ya jf upo vizuri hongera.
 
We jichanganye😃😂, wamebaki wa kwenye maandishi kama hivi ila kwa ground mambo ni tofauti
😂 wapo ila simaanishi wasiopenda pesa, kwangu mwanamke bora ni muhimu awe na angalau 75% ya sifa alizozitaja Nifah

Hii dunia ni kubwa sana kwa bahati mbaya hakuna anaekuchagulia wa kuwa nae kwenye maisha, mwanamke kama hanieshimu wanini sasa? Na heshima inajengwa na upendo. Siwazungumzii slay queens nawazungumzia wanawake bora wenye sifa ya kuwa wake za watu.
 
Back
Top Bottom