Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Mkuu hiyo avatar yako, ipo hot sana 😋😋😋[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787] comment yako imenifurahisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo avatar yako, ipo hot sana 😋😋😋[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787] comment yako imenifurahisha sana
My dear, hukuzingatia mwanzo niliposema watu hatufanani?Nifah wewe ni Allien...au unaandika hivi Kwa vile kaka mzuri anasomaaaa🙄🙄🙄🙄🙄sema kweli hupendi Hela na kufika kibo?
Watanzania hawaamini Hilo...wanajua ukiwa na Hela lazima uwe mlemavu wa viungo vya uzazi,na ukiwa na nguvu kwenye viungo vya uzazi lazima uwe maskiniKwanini isiwezekane?
Tatizo kubwa la vijana ni *lishe duni na *ubishoo.
Kama mtu ni bishoo hawezi kupata hela.
Na kama hana hela hawezi kula vizuri.
Na pia iwapo akili hana basi hajui ale nini ili amudu kufanya mapenzi kwa ufanisi.
😅 𝘄𝗼𝘁𝗲 𝘁𝘂𝘁𝗮𝗳𝗶𝗸𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗰𝗵𝗼𝗸𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗰𝗵𝗮𝗸𝗮𝗮 😀😃Mtafika Mbinguni hoiii
😂😂🙌🙌Taabanii yaani😔
LolsWewe ni strong woman...Kaka mzuri akuoe harakaaaaa
🙌🙌🙌👐👐👐Sa ndio unifokee na wewe si uvunge !ukorofi tu😒😒
Ulikuwa hujui.Kumbe wa kunyumba
Mwanaume ana vitu vikuu *vitatu vya kulinda;Watanzania hawaamini Hilo...wanajua ukiwa na Hela lazima uwe mlemavu wa viungo vya uzazi,na ukiwa na nguvu kwenye viungo vya uzazi lazima uwe maskini
Hapana akimaliza anaulizwa "vipi, mbona ulikuwa unaomba msamaha"?🤣🤣🤣Eti samahani mume wangu....halafu akimaliza na yeye anasema samahani mke wangu Kuna mchongo nakusikiliza,una buku hapo?
Basi tumuache Leejay49 alale sasa. Usiku mwemaNilikuwa sijui aisee...
Mi sijasema nataka kibabu Cha kunipa Hela mkuu umenisoma vibaya,nimesema ukipata wa kukupa vyote?kwani wenye Hela ni vibabu tu?hakuna vijana wenye Hela?Mfano sasa hivi mda huu nipo kwenye mgahawa zimeingia pisi mbili kali,zimetangulizwa then vibabu vyao vimewafuata kwa nyuma. Mmmoja sijui hana experience ila anavyo ongea na kibabu chake anaona aibu na hayupo comfortable kabisa.
Kusema ukweli wanaume ambao mnawataka nyinyi wa kuwapa hela kwa ajili ya vitu luxury ni vibabu na wanaume za watu. Ila vijana ambao ni age yenu uwezo wao ni kuwapa mahitaji ya MSINGI.Swala lenu mkubali kuwa nyumba ndogo au single mother. Yaani siku hizi mnataka kijana anaye jitafuta ahandle vikoba,mikopo,michezo majina matatu na mahitaji mengine ni uongo.
Tatizo siku hizi hamjui kutofaitisha lipi hitaji la msingi lipi ni luxury na wengine hata zile feelings za mapenzi mshapoteza, mnafikiria hela sometimes mkikutana na wahuni wana watumia vibaya kingono na nyinyi mnaona sawa.
Yaani na watizama hawa mabinti hapa hata ile chemistry huioni bali tu wanatizama pochi basi.
Daah huyo ndio mwenyewe Sasa,,hapo ni mwendo wa kuwa nae bampa to bampa😁Hapana akimaliza anaulizwa "vipi, mbona ulikuwa unaomba msamaha"?
"utasikia aaagh yani ukichonifanyiaaaa mmmmmhhh!"
Basi hapo kidume kinajiandaa kisha kinaacha hela ya matumizi mezani, kisha busu la komwe na kuaga.