Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Kwahio

unamtaka mchochezi tu mengine utajiongeza mwenyewe. Hii imekaa njema sana na umekuwa realistic haswaa. Kiufupi huyo mwenye vyote hutainjoy sababu mtakuwa kwenye mgao😂
Kwakweli hapo lazima mgao uhusike 😃😂😂,, maana kila mtu atakua anamng’ang’ania.. Yanini pressure za ujanani wakati mikono na nguvu ninazo za kutafuta hela😃
 
😂 wapo ila simaanishi wasiopenda pesa, kwangu mwanamke bora ni muhimu awe na angalau 75% ya sifa alizozitaja Nifah

Hii dunia ni kubwa sana kwa bahati mbaya hakuna anaekuchagulia wa kuwa nae kwenye maisha, mwanamke kama hanieshimu wanini sasa? Na heshima inajengwa na upendo. Siwazungumzii slay queens nawazungumzia wanawake bora wenye sifa ya kuwa wake za watu.
Hakuna kitu kama hicho we haya😃😃😂.. Unadhani hata yeye mwenyewe angekua hivyo wa maandishi yake jamaa angemtindua miaka yote ile na kumwacha😃😂.. Kwasababu hakuna mwanaume asiyependa malaika wa namna hiyo
Asa we jidanganye ujute😃
 
😂 nadhani hujamuelewa au umemuelewa tofauti.
Sikatai hakuna alie hivyo 100% ndio maana nikasema atleast 75%.
Kama hawapo nioe mtu aniheshimu yanini? Si kujitafutia matatizo?
Ieleweke mimi sio kataa ndoa na wala sio mpinga pesa kwenye mapenzi.
 
Hivyo vyote mbwembwe😂😂,, ingekua watu wanafata heshima tu na hivyo vingine sidhani kama kuna ndoa zingevunjikaga na kusingekua na kuchitiana😂😂..
Hakuna mwanamke asiyependa hela wala mjegeje, na hivyo ndo vigezo vikuu almost kwa kila mtu😃😂

We endelea kupumbazika na ngonjera na mashairi na mapambio ya malaika wa humu… Am out😂😂🙌
 
Kwema?

Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.

Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.

NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Aiseee!! Angalau mmetoa kipengele cha tall dark and handsome. Na imani by 2040 kipengele cha kuwa na hela nacho kitapotea na kubakia cha kufika kibo tuu
 
Hivyo vyote mbwembwe😂😂,, ingekua watu wanafata heshima tu na hivyo vingine sidhani kama kuna ndoa zingevunjikaga na kusingekua na kuchitiana😂😂..
Hakuna mwanamke asiyependa hela wala mjegeje, na hivyo ndo vigezo vikuu almost kwa kila mtu😃😂

We endelea kupumbazika na ngonjera na mashairi na mapambio ya malaika wa humu… Am out😂😂🙌
Relationships are about sex, goals achia halland. Ndalama uongeza utelezi wa mbususu
 
Hivyo vyote mbwembwe😂😂,, ingekua watu wanafata heshima tu na hivyo vingine sidhani kama kuna ndoa zingevunjikaga na kusingekua na kuchitiana😂😂..
Hakuna mwanamke asiyependa hela wala mjegeje, na hivyo ndo vigezo vikuu almost kwa kila mtu😃😂

We endelea kupumbazika na ngonjera na mashairi na mapambio ya malaika wa humu… Am out😂😂🙌
Bado nasema umeelewa tofauti, unavyovizungumzia ni tofauti kabisa na hoja yangu.

Sijakataa kuhusu ishu ya kupenda hela na jegeje. Unazijua sifa za mwanamke bora wale tunaowaita wife material?
Kama ilivyo kwenu nyinyi mna sifa zenu za mwanaume may be awe na hela n.k hivyo hivyo kwa upande wetu kuna sifa za mwanamke wa kuoa, hatuoi tu kwa sababu ni mwanamke, kuna sifa na vigezo.
Penda pesa, penda jegeje ila heshima iwepo, huniheshimu na ninajua nikuoe? Unaweza mshauri kaka yako aoe mwanamke asiemheshimu?
 
Mi sijasema nataka kibabu Cha kunipa Hela mkuu umenisoma vibaya,nimesema ukipata wa kukupa vyote?kwani wenye Hela ni vibabu tu?hakuna vijana wenye Hela?
Kwa mtu wa age yako ( japo si fahamu) ni vijana wachache mno wanaoweza kukupa vyote, kwani vijana wengi wanajitafuta na kutokana na sababu hiyo options inayobakia ni vibabu au mme wa mtu.
 
Hakuna kitu kama hicho we haya😃😃😂.. Unadhani hata yeye mwenyewe angekua hivyo wa maandishi yake jamaa angemtindua miaka yote ile na kumwacha😃😂.. Kwasababu hakuna mwanaume asiyependa malaika wa namna hiyo
Asa we jidanganye ujute😃
Nahisi kukuelewa, aisee pamoja na uzee huu bado tunajifunza kwa vibinti kama nyie🤣🤣
 
Back
Top Bottom