Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Hao hapana kabisa, halafu ni wepesi sana kushawishika kufanya mambo hayo.
Nikupe siri tu.

1.Pendelea ku date na wanawake independent. Hawa wengi huwa wanajiweza kiuchumi na hawana mambo ya ku cling na mashosti but wanafanyaga mambo kwa kutumia akili zao by 100%.

2. Ogopa sana mwanamke ambaye anafosi kuhudumiwa maana aidha hana akili ya pesa au ni mbinafsi sana. Huwezi hata kumpa biashara ya kashata asimamie na kuleta hela ila atakuwa nu ni mtu mlalamishi asiye na shukurani.

3. Ogopa sana mwanamke ambaye hawezi ishi bila kuambatana na mashoga zake. Hapo jua kila mfanyalo litapitishwa kwanza bungeni kwao huko na maamuzi yake yatakuwa based huko kikaoni.
 
Una upeo mkubwa sana wa kuichambua hii mada... asante umeniongezea kigezo Cha tatu "afya ya akili"
Asante sana. Afya ya akili ni jambo la msingi sana.

Mwanaume kaagizwa aishi na mwanamke kwa akili. Maana yake, mwanaume anatakiwa awe na akili.

Lakini pia mwanaume kapewa jukumu la kuwa kiongozi wa familia.

Kiongozi wa familia lazima uwe unajiweza kifedha* kiakili na hata kitandani
 
Yeah 👊👊
Ila sometimes better ukawa real mtu akusome kuanzia mwanzo wewe ni mtu wa aina gani ajue ataenda na wewe aje,, utajibanaa mwisho wa siku makucha hayafichiki unaumbuka unaachwa😃😂😂😂
Uhalisia wa mtu haujifichi ng'oo utafake lakini utachoka, uzuri ni kuwa kila mtu ana vipaumbele vyake na anajua anachokitafuta.
Ukitafuta pa kutokea(kasoro) ni lazima utapata tu.

Uwezi kuwa real 100% kwa mtu unaekutana nae ukubwani kama nywele za kwapani, jipe muda kila pattern itafunguka kadri muda unavyoenda sio tunajuana jana alafu leo uwe umeshanijua kila kitu as if tumefahamiana miaka 7 iliyopita.
 
Nikupe siri tu.

1.Pendelea ku date na wanawake independent. Hawa wengi huwa wanajiweza kiuchumi na hawana mambo ya ku cling na mashosti but wanafanyaga mambo kwa kutumia akili zao by 100%.

2. Ogopa sana mwanamke ambaye anafosi kuhudumiwa maana aidha hana akili ya pesa au ni mbinafsi sana. Huwezi hata kumpa biashara ya kashata asimamie na kuleta hela ila atakuwa nu ni mtu mlalamishi asiye na shukurani.

3. Ogopa sana mwanamke ambaye hawezi ishi bila kuambatana na mashoga zake. Hapo jua kila mfanyalo litapitishwa kwanza bungeni kwao huko na maamuzi yake yatakuwa based huko kikaoni.
Hakika haya ni ya muhimu, nitaishi humo mkuu
 
Aisee me nataka anaejua kupeleka moto iie kiukweli ukweli,, hela me mwenyewe mtafutaji mzuri sana.. Na akiw na vyote pia sawa
Duh wewe utakuwa na high sex drive/libido yaani unapelekewa 🔥 non stop na huchoki.

Kuna wale wanawake baada ya maandalizi pump mbili tu amemaliza na anamsukumia mwanaume huko mbali hataki tena.
 
Back
Top Bottom