Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwatania wazee, sasa nimezeeka nataniwa 😂 Alisikika mzee mmoja wa kada ya Mpwayungu VillageWanawake wanazingatia sana hayo masuala mawili (Pesa pamoja na kufikishwa)
Nakumbuka Mwaka 1989, binti niliyekuwa namlipia Kodi kule Upanga alinisema karibu nife eti kwanini nimewahi kumaliza na yeye hajafika (nilitumia sekunde 15 kufika safari).
Nikamwambia unajua nina miaka mingapi?(Wakati huo nilikuwa ni Mzee wa miaka 53 na yeye alikuwa Binti wa miaka 20)
Pesa na kumridhisha Mwanamke ni vitu aghalabu sana kuvikuta Kwa Mwanaume mmoja.
Binti ukimpata Mwanaume wa hivyo, hakikisha humpotezi kirahisi 😜
Babu shikamoo