Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitake niamini kama na wewe ni mtu wa vita da Nifah🤔🤔 ... Tatizo umechukulia in a serious note wakati niliandika kama utani, na nilikuuliza kama nimekutonesha popote tena nikiwa nacheka maanake ungeniambia ndyo mapema sana ningekuomba radhi ( Nadhani nilifanya hivyo pia, rudia kusoma vizuri),..Sikia Leejay49
Rudi nyuma, fuatilia posts zako wewe na Half american
Sio wewe uliyesema haya? Hapo ulikuwa unamuongelea nani?
mzabzab Tatizo hamzingatii vigezo na masharti! Mkiwa na mambo mengi mpambane kutafuta hela tu, hamna namna!Jamani mbona mnakubalinthen mnakanusha? Sasa mbona sie tusio na hela mnatukwepa kama ukoma? Mpo tayari kuliwa mbususu na wenye vibamia wenye hela
Tutabanana humu humu na niwataarifu tu mjiandae kutoka, hii dunia nshapata wa kumpa.
[emoji23] Wewe na huyo mtu wako ndio mtakua wa kwanza kutoka niamini mimi.Tutabanana humu humu na niwataarifu tu mjiandae kutoka, hii dunia nshapata wa kumpa.
Kuna koment yako moja nilisoma mahali mwaka jana mwshoni kama sikosei, nikirelate na haya uliyoyaweka hapa leo ni watu wawili tofauti kabisa. Nwei maisha hubadilika na watu wake. Shortly ni kwamba leo unaunga mkono mambo ambayo ulikuwa ukiyapinga. Ni sawa na mimi niwe naunga mkono kataa ndoa.Shogaangu sijui nimepatwa na nini leo😥😥 ,, ngoja nikague kwanza chupa nilizokunywa jana usiku kama zenyewe au nilichanganya madesa..
Anyways.. Yaani da Nifah angejua kama ni role model wangu wala asingejichosha kushusha haya magazeti yote..
Hata sielewi kilichomfanya apanic ni nini maana sikua na lengo la kumuattack, Niombee msamaha best yangu, nimekoma kuropoka ropoka...
Nifah Nifah Nifah nimekuita mara tatu kipenzi changu,, sijawahi kua serious am very Sorry ma big ciccy 🙏🙏
😂 mtu wangu yupi tena[emoji23] wewe na huyo mtu wako ndio mtakua wa kwanza kutoka niamini mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Sorry Leejay49 kama ntakuwa naleta kihere here, ila kama unatamani msamaha wako ufike vizuri ungeacha ku-question Nifah 's reaction, because that's gaslighting. She has the right to feel how she feels, bila kujali ulichokusudia.Usitake niamini kama na wewe ni mtu wa vita da Nifah🤔🤔 ... Tatizo umechukulia in a serious note wakati niliandika kama utani tu kuchangamsha jukwaa, na nilikuuliza kama nimekutonesha popote tena nikiwa nacheka maanake ungeniambia ndyo mapema sana ningekuomba radhi ( Nadhani nilifanya hivyo pia, rudia kusoma vizuri),..
Na nilidhani kwa vile ulishaweka wazi mwenyewe jukwaani haina maana Yoyote kwako na huna tena cha kuwaza kuhusu yaliyopita cause nakujua vile ulivyo strong...
Am Sorry kama ina sound like personal attacks,, I didn't mean it🙏🙏
Oooh asante kunielewesha… Nampenda sana, na ni kati ya watu ambao sikuwahi waza kama nitakuja kutofautiana nao hapa jukwaani..
Si huyo unaesema unataka kumpa ulimwengu au sijaelewa? Muanze nyie kutoka hahaa[emoji23] mtu wangu yupi tena
Ipi hiyo my friend, em nenda unitag kwanza nione.. isijekua watu mnanichukulia serious wakati me nakuaga na utani mwingi🤔🤔Kuna koment yako moja nilisoma mahali mwaka jana mwshoni kama sikosei, nikirelate na haya uliyoyaweka hapa leo ni watu wawili tofauti kabisa. Nwei maisha hubadilika na watu wake. Shortly ni kwamba leo unaunga mkono mambo ambayo ulikuwa ukiyapinga. Ni sawa na mimi niwe naunga mkono kataa ndoa.
You are wife material, kupenda pesa na kutunzwa hiyo ni hulka ya wanawake wote kama sio wengi.Kwamba niachane na mambo yakujitunza na kutunzana niingie kwenye chama cha kutunzwa ehhh.... 😁😁
Yamekwisha.Oooh asante kunielewesha… Nampenda sana, na ni kati ya watu ambao sikuwahi waza kama nitakuja kutofautiana nao hapa jukwaani..
Acha nimuache kwanza
Thanks🥰🙏Yamekwisha.
Cheers
rejea comments ulizoniquote/reply.Ipi hiyo my friend, em nenda unitag kwanza nione.. isijekua watu mnanichukulia serious wakati me nakuaga na utani mwingi🤔🤔
😂 call 911 sio bureAlie-hack hii ID nisimkamate!!
Zilivyo nyingi sasa😥,rejea comments ulizoniquote/reply.
Tupo love connect utani uwepo ila uhalisia wa mambo utawale.
Sio wote lazima tuwe kama mama Samia Suluhu Hassan bro😁Mzazi wako alikupeleka shule ili uje tu kumpata mwanaume anayekufikisha kibo, anayekupa hela n.k?
Mwanamke kuwa na mawazo ya kutaka kupewa pewa tu ni hasara kwa mzazi aisee...