Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Naona umepanic tu bure da niffa mpenzi wa mie😃😃,,.. me sikua na lengo la kukuattack naona umenisoma vizuri ila nashangaa ulivyokua attacked 🤣🤣🤣Sasa jiwe gani la kizani shoga mbona umesema waziwazi? Au nikufundishe jinsi ya kurusha jiwe kizani nini? Unaonekana mgeni mwaya bado una kamba mguuni kwenye hayo mambo.
Kaka mzuri anakunywa chai nchi za watu huko mpenzi, na kuhusu ndoa usiwaze wala sio pumzi hiyo.
Chill.
Pole mwaya ndo maisha hayo dadangu