Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Kipo bwana zamani walikuwa wanasema wanataka mwanaume tall dark and handsome, awe na pesa na anua kusugua mbususu Kelsea upo?
Kaka ? Nikuibie siri.
Hiyo zamani ni miaka mingapi imepita? Siku hazigandi mkuu na kwakuwa hazigandi miaka inasogea. Wa mwaka 2018 sio wa 2024. Kama hujanielewa nitatutumia namna nyingne kukuelewesha.
Mtoe Kelsea hapo haraka .
 
Kwakweli hapo lazima mgao uhusike 😃😂😂,, maana kila mtu atakua anamng’ang’ania.. Yanini pressure za ujanani wakati mikono na nguvu ninazo za kutafuta hela😃
Full package inatafutwa na kila mtu na kila atakayekutana nae katika watu 10 basi 8 kati yao wataenda kwa sangoma kuweka Tag ili wasiachwe 😂
 
Kwema?

Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.

Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.

NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Mawazo ya Kipumbavu, mnawaza kutunzwa tu na hapo hapo mnawaza 50/50,hamnaga akili nyie isipokua mama yangu tu mzazi ambaye na yeye watajuana na mshua
 
Bado nasema umeelewa tofauti, unavyovizungumzia ni tofauti kabisa na hoja yangu.

Sijakataa kuhusu ishu ya kupenda hela na jegeje. Unazijua sifa za mwanamke bora wale tunaowaita wife material?
Kama ilivyo kwenu nyinyi mna sifa zenu za mwanaume may be awe na hela n.k hivyo hivyo kwa upande wetu kuna sifa za mwanamke wa kuoa, hatuoi tu kwa sababu ni mwanamke, kuna sifa na vigezo.
Penda pesa, penda jegeje ila heshima iwepo, huniheshimu na ninajua nikuoe? Unaweza mshauri kaka yako aoe mwanamke asiemheshimu?
Nakuelewa sana,, tatizo me niko natetea mada ya Joannah ndo iliyopi mezani😂😂
 
Mkuu Umeamua Usizunguke[emoji23]
Kipengele ni maokoto tu hao wa kuwasha moto tupo wengi sana, na hata ukiamua kujitafuta nina hakika kwenye watano utakaochagua hutokosa wawili wa kukuwashia huo moto

Ila kwenye maokoto sasa[emoji23][emoji23] unaweza kumaliza mji mzima na usiambue

Hivyo cha msingi we dada tafuta pesa, uwe na hiko kimoja huo moto utaukuta tu , na tutakuwashia mpaka ukitoka magetoni ukae hata mwezi hutamani tena dudu la yuyu
 
Back
Top Bottom