Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Dec 22, 2024 #1 30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao. Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao. Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Dec 22, 2024 #2 Inawabidi wawe wanatoka kwenda maeneo yenye mikusanyiko, sio kujifungia ndani kila siku.
city bookstore JF-Expert Member Joined Oct 27, 2022 Posts 375 Reaction score 987 Dec 22, 2024 #4 Wenzao wanajazana makanisani saivi😂😂
Qashy Lilith JF-Expert Member Joined Aug 30, 2024 Posts 1,508 Reaction score 2,965 Dec 22, 2024 #5 Sioni kama Kuna tatizo akija kutafuta humu maana jukwaa la mahusiano lipo...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 22, 2024 #6 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Dec 22, 2024 #7 Jua linazama
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Dec 22, 2024 #8 Kwa umri huo akirudi kwao kamwe hatokubalika. Kwanza atakuta wanaume wa rika lake wote wameshaoa
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 Dec 22, 2024 #9 Umeamka nao