Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

"Subira yangu ndio iliyo ni ponza ngoja ngoja naonekana zoba....."-Banana

FUNGUKA sio unajipitisha pitisha ,story nyingi ambazo hazina maana,kuna mwenzako anafunguka ndani ya week anajichukulia mzigo.
 
Hivyo hata mama yako akitongozwa ujue kadhalaurika? Kazi kwelikweli
 
Dar haina tofauti na sodoma na gomola kila mdada ana vikuku vya shabga apo unatongoza nini?
 
😀😀😀 chief unachekesha kweli... Kilanndoa zilizo sajiliwa duniani 95 % lazima kulikuwepo kitendo cha kutongoza ... Kitendo cha kutongoza ndio mzizi wa mahusiano .... Hakuna demu atakufuata ww ulipo geto kwako na kukuomba mfanye mapenzi na kuanzisha familia ..lazima kwanza mtu atonhozwe then mahusiano huzaliwa ...hivyo bac kutongozwa sio kudharaulika
 
Its true...me huwa naomba tu namba vingine vinaenda automatic
 
[emoji3][emoji3][emoji3] chief unachekesha kweli... Kilanndoa zilizo sajiliwa duniani 95 % lazima kulikuwepo kitendo cha kutongoza ... Kitendo cha kutongoza ndio mzizi wa mahusiano .... Hakuna demu atakufuata ww ulipo geto kwako na kukuomba mfanye mapenzi na kuanzisha familia ..lazima kwanza mtu atonhozwe then mahusiano huzaliwa ...hivyo bac kutongozwa sio kudharaulika
Kutongozwa ni kudharauliwa haijalishi kuwe na ndoa wala kusiwe na ndoa iyo 95% uliyoizungumzia zimetembea dharau hapo kote.. kaa chini tena fikiria content ya mada kuna kitu utakigundua tu
 
400008900477_332008.jpg
 
Back
Top Bottom