Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

Wadada wengine wana penda ile hali ya kutongozwa tongozwa, ingawa pichu hawatoi.
 
Pole Sana mkuu, itakuwa mke/demu wako anatongozwa sana😂😂 kwa hiyo roho inakuuma! Alafu atakuwa huyo mkeo ni mapepe anapenda kutongozwa
 
Back
Top Bottom