Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

Wadada wengine wana penda ile hali ya kutongozwa tongozwa, ingawa pichu hawatoi.
 
Pole Sana mkuu, itakuwa mke/demu wako anatongozwa sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwa hiyo roho inakuuma! Alafu atakuwa huyo mkeo ni mapepe anapenda kutongozwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ