Mwanamke umpendaye anapokuacha, ufanye nini upone?

Unamaana gani? Mwanaume ana UPENDO wa dhati ila kamkosea mwanamke ??? Mwanamke ndio Mwenye dhati ila amekosewa na mwanaume ?.

Na hilo kosa yaan unamaanisha "Mwanaume Kumuacha mwanamke?)


Mwanaume anapomcheat mkewe , Kisha mke akajua akaamua kuondoka na kuanza maisha yake utasema huyo Mwanaume alikuwa anampenda mkewe kwa dhati ya moyo?

Au nimechanganya mada? [emoji3][emoji3]
 
Kipigo kiko pale pale😅
 
Hio story inaweza ku work out kama una papuchi kadha wa kadha ambazo zimenyooka unavuta tu na kugonga anytime😅

Usipokuwa na Sub ujue umeisha lazma ulie na kusaga meno hasa mwenzio akikukatia bogi ghafla.

Mara nyingi manzi akisepa kihisia anakuwa kahamia mtaa wa pili so unabakia vacant ila kama una watu wa kustorika nao na kukupa company za kimapenz huwezi tingishika hata kidole😅...Huu mchezo auhitaji hasira sasa we komaa na mayai yote kwenye kapu moja tu😅
 
'Mapenzi yanatesa nyinyi'

Cha ajabu hukomi.
 
Umetema Madini .

Kuna wengine wanasema hata ukiwa nao kadhaaa, et yupo mmoja kiboko ???.
 
Umetema Madini .

Kuna wengine wanasema hata ukiwa nao kadhaaa, et yupo mmoja kiboko ???.
Labda uwe ndezi! Uniache af nna mashine 3 sampuli kama hii nakuwaza hata sekunde sasa.

Nashangaaga sana akina Diamond sijui wana feli wapi hawa ndio watoto wa kuoa unashangaa mijamaa inahangaika na makurubembe yalioshindikana mjini.
 
Manzi kama huyu akiwa geto, kabla hujamla, Unampikia msosi Mtamu anakula anashiba kwanza .
 
Rafiki yangu mmoja kila mara aliniambia dawa ya mwanamke ni mwanamke ila nilipuuza tu ushauri wake,jamaa anakuwaga na sub so haumizwi kabisa
 
rafiki yangu mmoja kila mara aliniambia dawa ya mwanamke ni mwanamke ila nilipuuza tu ushauri wake,jamaa anakuwaga na sub so haumizwi kabisa
Hahahah sub muhimu lasivyo utakosa control utakuwa unaendeshwa kama gari bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…