Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Unamaana gani? Mwanaume ana UPENDO wa dhati ila kamkosea mwanamke ??? Mwanamke ndio Mwenye dhati ila amekosewa na mwanaume ?.
Na hilo kosa yaan unamaanisha "Mwanaume Kumuacha mwanamke?)
Mwanaume anapomcheat mkewe , Kisha mke akajua akaamua kuondoka na kuanza maisha yake utasema huyo Mwanaume alikuwa anampenda mkewe kwa dhati ya moyo?
Au nimechanganya mada? [emoji3][emoji3]