Mwanamke umpendaye anapokuacha, ufanye nini upone?

Wanawake tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya mapenzi....tumegeuka almasi mchangani, tutembee vifua mbereeee.

Thread kumi, tisa zinamzungumia mwanamke na kumlilia humo humo.
tuendelee kupambana wanawake wenzangu tuingie kwenye zile basic needs, yani mwanamke ni basic need....hihihiii nacheka kiSukUma!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Endapo huyo mwanamke ana maslahi kwako, endelea kumnyenyekea. Kikubwa mwanaume tazama zaidi maslahi yako kuliko chochote.
 
Nilikuwa hivyo hapo kabla ila kuna kasauti ubongoni kakawa kananiambia "ipo siku utakutana na kiboko yako!".
Walahi siku ikawadia!,penzini nikatumbukia matamu nikapewa!,kambani si nikatiwa! Halooo!.
Japo sijawahi kutoa chozi ila chamoto nilijionea!.
Mapenzi yanatesa nyinyi nachoshukuru I have strong mind naweza ku heal nakurudia timamu yangu pale napoona mambo siyo!.

Ni ujumbe mzuri lakini kwa ambao hawajapenda kwa mara ya Kwanza jua huu ujumbe hauwahusu mpk yawakute!. Mapenzi hayafundishiki na hisia hazifundishiki someone can read this but can't handle to practice it!.

This is for strong people not weak one.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawaajui haya kua hayana formula.
 
Hio story inaweza ku work out kama una papuchi kadha wa kadha ambazo zimenyooka unavuta tu na kugonga anytime[emoji28]

Usipokuwa na Sub ujue umeisha lazma ulie na kusaga meno hasa mwenzio akikukatia bogi ghafla.

Mara nyingi manzi akisepa kihisia anakuwa kahamia mtaa wa pili so unabakia vacant ila kama una watu wa kustorika nao na kukupa company za kimapenz huwezi tingishika hata kidole[emoji28]...Huu mchezo auhitaji hasira sasa we komaa na mayai yote kwenye kapu moja tu[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hio story inaweza ku work out kama una papuchi kadha wa kadha ambazo zimenyooka unavuta tu na kugonga anytime[emoji28]

Usipokuwa na Sub ujue umeisha lazma ulie na kusaga meno hasa mwenzio akikukatia bogi ghafla.

Mara nyingi manzi akisepa kihisia anakuwa kahamia mtaa wa pili so unabakia vacant ila kama una watu wa kustorika nao na kukupa company za kimapenz huwezi tingishika hata kidole[emoji28]...Huu mchezo auhitaji hasira sasa we komaa na mayai yote kwenye kapu moja tu[emoji28]
Mwaka flani nilizinguliwa na Mademu wangu watatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sema nilikuwa na back up nyie nyiee unaweza kufaa bila hivyoo
 
Wanawake tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya mapenzi....tumegeuka almasi mchangani, tutembee vifua mbereeee.

Thread kumi, tisa zinamzungumia mwanamke na kumlilia humo humo.
tuendelee kupambana wanawake wenzangu tuingie kwenye zile basic needs, yani mwanamke ni basic need....hihihiii nacheka kiSukUma!!!!
Jiongopee tu
 
Ha ha ha nalala na kiredioooo[emoji445][emoji444]

Sisi ndo maua ya duniaa.... kazi iendeleew..
Mulie weeee mpk baasii.. ila raha kuliliwa jamani[emoji4][emoji4] napenda kudeka mimi mwanamkeee[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa hivyo hapo kabla ila kuna kasauti ubongoni kakawa kananiambia "ipo siku utakutana na kiboko yako!".
Walahi siku ikawadia!,penzini nikatumbukia matamu nikapewa!,kambani si nikatiwa! Halooo!.
Japo sijawahi kutoa chozi ila chamoto nilijionea!.
Mapenzi yanatesa nyinyi nachoshukuru I have strong mind naweza ku heal nakurudia timamu yangu pale napoona mambo siyo!.

Ni ujumbe mzuri lakini kwa ambao hawajapenda kwa mara ya Kwanza jua huu ujumbe hauwahusu mpk yawakute!. Mapenzi hayafundishiki na hisia hazifundishiki someone can read this but can't handle to practice it!.

This is for strong people not weak one.
They think its that easy... hisia kitu kingine hasa ukiwa real kwa mwenzio. Or else hajawahi penda kweli ni hit and run

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Tangu nimeoa nimesahau kutongoza kabisa hii khali ni ugonjwa ama
 
Wanawake tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya mapenzi....tumegeuka almasi mchangani, tutembee vifua mbereeee.

Thread kumi, tisa zinamzungumia mwanamke na kumlilia humo humo.
tuendelee kupambana wanawake wenzangu tuingie kwenye zile basic needs, yani mwanamke ni basic need....hihihiii nacheka kiSukUma!!!!

Kuna mtoto wa ma mkwe analialia huko wasap nimefanikiwa kumpiga na kitu kizito
Na yeye alikuwa mjanja mjanja lakini kasalimu amri[emoji1376]
Hapa wanapeana moyo na maujanja yote ila inbox wanalia lia
 
Mnawaokota wapi hap kulia lia? Yaan wanawapa Moyo, akili, kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu mchaga mjanja sana ila this time around kaangukia pua na kakubali
Alijua kunitesa sana enzi hizo aisee ni kaniliza mpaka basi now karudi mi sina hata hisia haamini....
Sijui kilicho mkuta huko kwa sub zake mpaka anarudi na vilio...
Kwa kifupi sijamkataa na sijamkubali nipo tu hapo naenjoy the feeling ya mtu kuteseka,nikichoka kucheza ntamuacha huru
 
Kuna mtoto wa ma mkwe analialia huko wasap nimefanikiwa kumpiga na kitu kizito
Na yeye alikuwa mjanja mjanja lakini kasalimu amri[emoji1376]
Hapa wanapeana moyo na maujanja yote ila inbox wanalia lia
Hawa ni majentromen wa JF tu hawanaga ishu hata 😂😂
 
Back
Top Bottom