Mwanamke umpendaye anapokuacha, ufanye nini upone?

Mwanamke umpendaye anapokuacha, ufanye nini upone?

Upone kvp jamani???tushawaambia hakuna kupenda penda jamani
 
Wanawake tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya mapenzi....tumegeuka almasi mchangani, tutembee vifua mbereeee.

Thread kumi, tisa zinamzungumia mwanamke na kumlilia humo humo.
tuendelee kupambana wanawake wenzangu tuingie kwenye zile basic needs, yani mwanamke ni basic need....hihihiii nacheka kiSukUma!!!!

Imagine!!!!MNASTAHILI HONGERA MPAKA WATOTO WA MAMA WANALETA NYUZI ZA KULILIA MAPENZI DAH
 
Atakufa kwa presha
Afe tu hana faida....Na kweny mazishi yake unaenda unakula ubwabwa wake huku pembeni umekaa na mama ake unamfuta futa machozi.......Roho yake inaendelea kuona unyama unaomfanyia....... Ukimaliza hapo usiku unampa mama ake penzi moto unanyonya ziwa alonyonya yeye na ukiwa chumbani na kitandani alichokua akilala yeye...Inatia huruma
 
Are tu hana faida....Na kweny mazishi yake unaenda unakula ubwabwa wake huku pembeni umekaa na mama ake unamfuta futa machozi.......Roho yake inaendelea kuona unyama unaomfanyia....... Ukimaliza hapo usiku unampa mama ake penzi moto unanyonya ziwa alonyonya yeye na ukiwa chumbani na kitandani alichokua akilala yeye...Inatia huruma
Wee ni mkatili sana
 
Wanawake tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya mapenzi....tumegeuka almasi mchangani, tutembee vifua mbereeee.

Thread kumi, tisa zinamzungumia mwanamke na kumlilia humo humo.
tuendelee kupambana wanawake wenzangu tuingie kwenye zile basic needs, yani mwanamke ni basic need....hihihiii nacheka kiSukUma!!!!
Tumia akili we mmama . Una comment matapishi TU hapa
 
Back
Top Bottom