[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya mapenzi....tumegeuka almasi mchangani, tutembee vifua mbereeee.
Thread kumi, tisa zinamzungumia mwanamke na kumlilia humo humo.
tuendelee kupambana wanawake wenzangu tuingie kwenye zile basic needs, yani mwanamke ni basic need....hihihiii nacheka kiSukUma!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaaaah sitaki uwiiiihWe kibuti unakijua lakin acha kabisa...pande zote hakifai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawaajui haya kua hayana formula.Nilikuwa hivyo hapo kabla ila kuna kasauti ubongoni kakawa kananiambia "ipo siku utakutana na kiboko yako!".
Walahi siku ikawadia!,penzini nikatumbukia matamu nikapewa!,kambani si nikatiwa! Halooo!.
Japo sijawahi kutoa chozi ila chamoto nilijionea!.
Mapenzi yanatesa nyinyi nachoshukuru I have strong mind naweza ku heal nakurudia timamu yangu pale napoona mambo siyo!.
Ni ujumbe mzuri lakini kwa ambao hawajapenda kwa mara ya Kwanza jua huu ujumbe hauwahusu mpk yawakute!. Mapenzi hayafundishiki na hisia hazifundishiki someone can read this but can't handle to practice it!.
This is for strong people not weak one.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayanaga muongozo...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio story inaweza ku work out kama una papuchi kadha wa kadha ambazo zimenyooka unavuta tu na kugonga anytime[emoji28]
Usipokuwa na Sub ujue umeisha lazma ulie na kusaga meno hasa mwenzio akikukatia bogi ghafla.
Mara nyingi manzi akisepa kihisia anakuwa kahamia mtaa wa pili so unabakia vacant ila kama una watu wa kustorika nao na kukupa company za kimapenz huwezi tingishika hata kidole[emoji28]...Huu mchezo auhitaji hasira sasa we komaa na mayai yote kwenye kapu moja tu[emoji28]
Mwaka flani nilizinguliwa na Mademu wangu watatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sema nilikuwa na back up nyie nyiee unaweza kufaa bila hivyooHio story inaweza ku work out kama una papuchi kadha wa kadha ambazo zimenyooka unavuta tu na kugonga anytime[emoji28]
Usipokuwa na Sub ujue umeisha lazma ulie na kusaga meno hasa mwenzio akikukatia bogi ghafla.
Mara nyingi manzi akisepa kihisia anakuwa kahamia mtaa wa pili so unabakia vacant ila kama una watu wa kustorika nao na kukupa company za kimapenz huwezi tingishika hata kidole[emoji28]...Huu mchezo auhitaji hasira sasa we komaa na mayai yote kwenye kapu moja tu[emoji28]
Hahahah usiombee alosto ya mbunye weee😅Mwaka flani nilizinguliwa na Mademu wangu watatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sema nilikuwa na back up nyie nyiee unaweza kufaa bila hivyoo
Acha tuu Mkuu ukiona mwanaume kaachwa na hashtuki jua alikuwa na back up mzee lasivyo utaburuzikaa sanaaHahahah usiombee alosto ya mbunye weee[emoji28]
Kama huna backup lazma lie kama Mboso 😅 ila vinginevyo ni unyama unyama tuAcha tuu Mkuu ukiona mwanaume kaachwa na hashtuki jua alikuwa na back up mzee lasivyo utaburuzikaa sanaa
Jiongopee tuWanawake tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya mapenzi....tumegeuka almasi mchangani, tutembee vifua mbereeee.
Thread kumi, tisa zinamzungumia mwanamke na kumlilia humo humo.
tuendelee kupambana wanawake wenzangu tuingie kwenye zile basic needs, yani mwanamke ni basic need....hihihiii nacheka kiSukUma!!!!
They think its that easy... hisia kitu kingine hasa ukiwa real kwa mwenzio. Or else hajawahi penda kweli ni hit and runNilikuwa hivyo hapo kabla ila kuna kasauti ubongoni kakawa kananiambia "ipo siku utakutana na kiboko yako!".
Walahi siku ikawadia!,penzini nikatumbukia matamu nikapewa!,kambani si nikatiwa! Halooo!.
Japo sijawahi kutoa chozi ila chamoto nilijionea!.
Mapenzi yanatesa nyinyi nachoshukuru I have strong mind naweza ku heal nakurudia timamu yangu pale napoona mambo siyo!.
Ni ujumbe mzuri lakini kwa ambao hawajapenda kwa mara ya Kwanza jua huu ujumbe hauwahusu mpk yawakute!. Mapenzi hayafundishiki na hisia hazifundishiki someone can read this but can't handle to practice it!.
This is for strong people not weak one.
Tunatembea vifua mbereeeJiongopee tu
Wanawake tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya mapenzi....tumegeuka almasi mchangani, tutembee vifua mbereeee.
Thread kumi, tisa zinamzungumia mwanamke na kumlilia humo humo.
tuendelee kupambana wanawake wenzangu tuingie kwenye zile basic needs, yani mwanamke ni basic need....hihihiii nacheka kiSukUma!!!!
Mnawaokota wapi hap kulia lia? Yaan wanawapa Moyo, akili, kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtoto wa ma mkwe analialia huko wasap nimefanikiwa kumpiga na kitu kizito
Na yeye alikuwa mjanja mjanja lakini kasalimu amri[emoji1376]
Hapa wanapeana moyo na maujanja yote ila inbox wanalia lia
Mnawaokota wapi hap kulia lia? Yaan wanawapa Moyo, akili, kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa ni majentromen wa JF tu hawanaga ishu hata 😂😂Kuna mtoto wa ma mkwe analialia huko wasap nimefanikiwa kumpiga na kitu kizito
Na yeye alikuwa mjanja mjanja lakini kasalimu amri[emoji1376]
Hapa wanapeana moyo na maujanja yote ila inbox wanalia lia